Tff na Mwakalebela Wamalizana, Mwakalebela Afutiwa Adhabu Zote Alizopewa na Tff, Kocha Katabazi afungiwa Maisha Kujijusisha na Soka.

Tff na Mwakalebela Wamalizana, Mwakalebela Afutiwa Adhabu Zote Alizopewa na Tff, Kocha Katabazi afungiwa Maisha Kujijusisha na Soka.

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Shirikisho la Soka Tanzania (Tff) wamemalizana Na Aliekuwa M/kiti Wa Yanga Mwakalebela Kwa kumfutia adhabu zake Zote, Pia Kamati Hyo Imewaondolea Adhabu Wanachama wawili Wa Yanga, Kocha Katabazi Amefungiwa Maisha Kujihusisha na Soka Ndani na Nje Ya Nchi.
Screenshot_20210624-165128.jpg
 
Wakuu Shirikisho la Soka Tanzania (Tff) wamemalizana Na Aliekuwa M/kiti Wa Yanga Mwakalebela Kwa kumfutia adhabu zake Zote, Pia Kamati Hyo Imewaondolea Adhabu Wanachama wawili Wa Yanga, Kocha Katabazi Amefungiwa Maisha Kujihusisha na Soka Ndani na Nje Ya Nchi.View attachment 1828638
Yaani na kwenye soka kuna kifungo cha maisha?
 
Wananchi wameenda wakitambaa kwa magoti wakiomba msamaha. Soma taarifa vizuri.
Siasa za soka hizo, hapo kilichopo ni kuwa tff wamewafungulia adhabu hao ili wananchi wakubali kuingiza timu tarehe 3, ukifuatilia mpira utajua nini kinaendelea kati ya tff na wananchi. Tff wamevunja kanuni na wananchi wapo sahihi kulingana na kanuni hivyo lazima tff wawapliz yanga kwa namna yoyote ikiwemo hiyo ya kuwafungulia viongozi wake.
 
Mtu ashinde kesi dhidi yake halafu Wamsamehe? Hebu wanyooshe maelezo tu kuwa MwakaLebela aibwaga TFF kwenye Marejeo ya kesi
 
Hiyo Barua imeandikwa kama kipeperushi[emoji4] ameshinda halafu akasamehewa[emoji3]
 
Yani Jamaa Kafile Revision Kashinda Then Tff Wanasema Kwamba Kakiri So Whichi Is Which? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nani anamkumbuka Rukambura? Nae aliwahi kuhukumiwa Hivi² baadae akasamehewa na Hao² [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga wazee wa kanuni hawajataka Mwaka aachiwe kwa kanuni bali kwa busara! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Niamini mimi kanuni ni pale tu unapotaka kukimbia mechi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kamati ya rufaa ya maadili ya TFF imetengua adhabu ya Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela na sasa yupo huru kuwatumikia Yanga.

Mwakalebela alifungiwa kujishughulisha na mpira wa miguu ndani na nje ya Tanzania kwa miaka 5 na kamati ya maadili ya TFF
 
BAADA YA KUTISHIWA KUTOAINGIZA TIMU HATIMAE MWAMBA MAKAMU WA ....AMEKUWA HURU LEO HIIII SI MWINGINE N FRANK MWAKALEBELA

MWAMBA HAJUI KUSHIDWA TUKUTANE MKUTANONI
 
Ivi ni mimi tu sijakuelewa ama na wenzangu...?🤔
Mimi pia, maana ameweka post mbili ambazo ni kama zinafanana, lakini pia ameongeza na hii ya kutoingiza timu, imeongeza mchanganyo kabisa
 
Back
Top Bottom