Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Yaani na kwenye soka kuna kifungo cha maisha?Wakuu Shirikisho la Soka Tanzania (Tff) wamemalizana Na Aliekuwa M/kiti Wa Yanga Mwakalebela Kwa kumfutia adhabu zake Zote, Pia Kamati Hyo Imewaondolea Adhabu Wanachama wawili Wa Yanga, Kocha Katabazi Amefungiwa Maisha Kujihusisha na Soka Ndani na Nje Ya Nchi.View attachment 1828638
Nyokoooo! Wananchi sio kama mbumbumbu.
TFF wamesanda kwa wananchi
Siasa za soka hizo, hapo kilichopo ni kuwa tff wamewafungulia adhabu hao ili wananchi wakubali kuingiza timu tarehe 3, ukifuatilia mpira utajua nini kinaendelea kati ya tff na wananchi. Tff wamevunja kanuni na wananchi wapo sahihi kulingana na kanuni hivyo lazima tff wawapliz yanga kwa namna yoyote ikiwemo hiyo ya kuwafungulia viongozi wake.Wananchi wameenda wakitambaa kwa magoti wakiomba msamaha. Soma taarifa vizuri.
Yeye mbona ameelewa vizuri tu? Mimi na wewe ndiyo hatujaelewa.Ivi ni mimi tu sijakuelewa ama na wenzangu...?🤔
Kama Libolo alivyokufanya pisi kaliSisi atujui,tunachotaka July 3 pisi kali lazima aje gheto la Msimbazi akatafunwe.
Mimi pia, maana ameweka post mbili ambazo ni kama zinafanana, lakini pia ameongeza na hii ya kutoingiza timu, imeongeza mchanganyo kabisaIvi ni mimi tu sijakuelewa ama na wenzangu...?🤔