TFF na Uongozi wa Yanga hili suala mbona mmelikalia kimya? Tunafunika Bakuli mwanaharam apite

TFF na Uongozi wa Yanga hili suala mbona mmelikalia kimya? Tunafunika Bakuli mwanaharam apite

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Hili suala toka Azam waliweke wazi tunaona kilichotokea. Yanga waliona wamevuliwa nguo wakasusa na Uwanja wa Azam kwa hasira. lakini Si Viongozi wa Yanga wala wa TFF ambao wamewahi kulizungumzia hili hata kukanusha. Nilitegemea kwa uzito wa hili jambo la wachezaji kujidunga TFF au Yanga wangekuja kukanusha. Haijatokea.

Ila tuliona reaction zake au matokeo yake

1. Yanga kuhama Uwanja wa Azam

2. Yanga wachezaji wake kucheza wakiwa kwenye default mode kupoteza nguvu na kocha mpya amekuja kushangaa hawa wachezaji hawana nguvu kabisa. Lakini match za nyuma tu walikuwa na nguvu sana hasa kipindi cha pili. nini kimetokea?

Majibu.

1. Kukaa kimya nalo ni jibu
2. Kufunika bakuli au kombe mwanaharamu apite maana wakija juu watu watatoa ushahidi zaidi yale mabomba Azam waliyahifadhi. so si busara kugombana na mtu ambaye ameshika mawe na wewe upo ndani ya nyumba ya vioo.

Ushauri wangu

1. Waendelee kunyamaza ili wasitubue hasira za waja. tuache waongee wakichoka watalala

2. Sasa tuwajenge wachezaji wetu wale matikiti maji tu. maana zile dawa zinakuwa supported na Watermelon ili kufanya zipotee haraka kupitia mkojo na jasho. tuache kuzitumia tunawaharibu wachezaji wetu.

3. Wachezaji wasikutanishwe na wanawake wanaojiuza wakijifanya ni mashabiki wapenzi wa Yanga wengine wametumwa kuja wachuja wachezaji wetu nguvu kuwapoteza. na mifano ipo.

Wachezaji wasi achiwe sana kujichanganya na mijidada ya Tabata, Magomeni, Kinondoni, Ilala,SInza, Mwenge, Buza , Buguruni tunaona inavyowanyonya damu.

Pateni Elimu kuhusu matumizi ya energy boost.

The effect of l-citrulline and watermelon juice supplementation on anaerobic and aerobic exercise performance​

Citrulline has been proposed as an ergogenic aid, leading to an interest in watermelon given its high citrulline concentration. The aim of this study was to determine the effects of a single, pre-exercise dose of l-citrulline, watermelon juice, or a placebo on the total maximum number of repetitions completed over 5 sets, time to exhaustion, maximal oxygen consumption (VO2max), anaerobic threshold, and flow-mediated vasodilation.

A randomised double-blind within-participants study design was used to examine these effects among 22 participants (n = 11 males). Supplementation included either a 7.5% sucrose drink containing 6 g of l-citrulline, 710 mL of watermelon juice (~1.0 g citrulline), or a 7.5% sucrose placebo drink. Supplementation was administered 1 or 2 h before exercise testing to investigate a timing effect.

There was no significant effect between the three supplements for the total number of repetitions, time to exhaustion, VO2max, anaerobic threshold, or flow-mediated vasodilation. There was also no interaction observed relative to gender or supplement timing (P > 0.05). A single dose of l-citrulline or watermelon juice as a pre-exercise supplement appears to be ineffective in improving exercise performance; however, greater doses of l-citrulline have been shown to be safe and are currently left unexamined.
 
Zile bimba za 10cc da wachezaji wa utopolo wemepitia mengi kwa kweli
 
Huwezi tafuta kitu ambacho unacho. Wewe ndo utafute. Mbona umepaniki dogo? Kuna sehemu Simba imetajwa hapo? Ule maana njaa itakuua.
Hakuna timu inafanikiwa Kwa sindano braza....acha kuwa shabiki tahira.
Yanga wanapitia fatique so tulia utaona wakirudi lkn mbona energy bdo ipo kubwa.
Mchoko/ fatique
Umakini
Majeruhi
Kadi au adhabu
Hivi ndio vimechangia yanga ishuke kiwango lkn watarudi hivi karibuni, utaona.
 
Hakuna timu inafanikiwa Kwa sindano braza....acha kuwa shabiki tahira.
Yanga wanapitia fatique so tulia utaona wakirudi lkn mbona energy bdo ipo kubwa.
Mchoko/ fatique
Umakini
Majeruhi
Kadi au adhabu
Hivi ndio vimechangia yanga ishuke kiwango lkn watarudi hivi karibuni, utaona.
Unapoteza muda wakk bure kulielewesha hilo jinga
 
Bil 3 hamjapata mnatafuta mengine, mnatengeneza jezi feki alafu mnataka kufidia kwenye mambo ya mchongo na bado
Ka Ali Kamwe kametisha! Yaani kale kadogo kamewabwaga matajiri wa Dar kwa mdomo wa sekunde 30 tu!
 
Hakuna timu inafanikiwa Kwa sindano braza....acha kuwa shabiki tahira.
Yanga wanapitia fatique so tulia utaona wakirudi lkn mbona energy bdo ipo kubwa.
Mchoko/ fatique
Umakini
Majeruhi
Kadi au adhabu
Hivi ndio vimechangia yanga ishuke kiwango lkn watarudi hivi karibuni, utaona.
Unaongea na mataahira ya Makolo! Hata kama wangekuwa kweli wanatumia sindano hivi kuna kiongozi asiyekuwa na akili kiasi hicho akaache sindano zinazagaa chini hivyo? Propaganda za makolo na Ibwe ni za kijinga!
 
Hakuna timu inafanikiwa Kwa sindano braza....acha kuwa shabiki tahira.
Yanga wanapitia fatique so tulia utaona wakirudi lkn mbona energy bdo ipo kubwa.
Mchoko/ fatique
Umakini
Majeruhi
Kadi au adhabu
Hivi ndio vimechangia yanga ishuke kiwango lkn watarudi hivi karibuni, utaona.
Hujui dogo. Mi nakuambia nipo sebuleni na wahusika.
 
  • Haki naanza kuamini makolo kweli akili hamnazo. Mwanzo nilidhani huu ni utani na wengi wetu tunajua ni utani wa jadi kama ule wa kipindi kile kocha wa makipa wa Simba alishutumiwa na madawa ya kulevya tukaanza kutania wabeba unga. Kumbe sasa katika utani isivyotarajiwa kuna watu waamini kweli haya mambo yapo.​
  • Hivi inawezekana kweli kama walikua wanajidunga wachezaji wote walikubaliana na hilo swala? Makocha, benchi la ufundi, viongozi? Katika wote hao hakuna ambaye angetoka nje kusema? Kwamba wote walikua wanakubaliana na hilo swala? Sawa tuna assume wote walikubaliana kufanya hilo swala haya kwa uzembe kiasi gani wafikie kuacha mpaka mabomba ya sindano (vidhibiti)​
  • Hizo ni logic za kawaida kabisa ambazo hujataka kuisumbua medula yako au pengine uwezo wa kufikiri wako haukufika huko. Sikulaumu ila ulishindwa vipi kuuliza kuliko kuja na shutuma. Propaganda well created, propaganda well executed. Ibwe akikaa huko akiona hivi anafurahi anasema teja langu hili limelishika akili.​
  • Pole bro. Next time utakua umejifunza.​
 
Na tangia hyo skendo ianze hawajawahi kushinda hata mechi moja.
 
Back
Top Bottom