Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nani kawapa hiyo haki ya kumiliki soka Tz?Tff ndio baba wa soka Tanzania hao wengine tumewa-follow tu.
Mtu hawezi fanya soka nje ya TFF?Ili iweje?
Yote haya kisa umefungiwa miaka mitano?
Mkuu ni kweli adhabu wanazotoa TFF ni za uonevu mkubwa tena hasa TFF ya Wallace KariaNimesikia TFF wamemfungia Shafii Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa miaka mitano. Imekuwa ikifungia watu wengi sana. Naomba kujua kama TFF wana monopoly ya soka nchi, yaani kama TANESCO walivyo na monopoly kwenye kuzalisha na kuuza umeme? Kwamba ukitaka kufanya shughuli zozote za soka ni mpaka TFF wahusike! Nani amewapa mamlaka hayo, ni halali kuwa hivyo?
Hivi mtu hawezi toka huko akaanzisha kampuni/taasisi yake. Akaanzisha ligi yake bila kujihusisha na hao TFF? Je kunaweza kuwa na vyama na mashirikisho mengi ya soka ambayo hayahusiana na TFF, CAF na FIFA?
Umeuliza jambo la maana sana.Nimesikia TFF wamemfungia Shafii Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa miaka mitano. Imekuwa ikifungia watu wengi sana. Naomba kujua kama TFF wana monopoly ya soka nchi, yaani kama TANESCO walivyo na monopoly kwenye kuzalisha na kuuza umeme? Kwamba ukitaka kufanya shughuli zozote za soka ni mpaka TFF wahusike! Nani amewapa mamlaka hayo, ni halali kuwa hivyo?
Hivi mtu hawezi toka huko akaanzisha kampuni/taasisi yake. Akaanzisha ligi yake bila kujihusisha na hao TFF? Je kunaweza kuwa na vyama na mashirikisho mengi ya soka ambayo hayahusiana na TFF, CAF na FIFA?
Kuna watu/vilabu vilitaka kuanzisha SUPER LEAGUE huko Ulaya kukwepa vyama kama EUFA ligi ikafa kifo cha mende.Mtu hawezi fanya soka nje ya TFF?
Mkuu, FIFA haina hati miliki na mchezo wasoka na wala haina mamlaka ya moja kwa moja na kila mchezo wa soka unapochezwa duniani. Yapo mashindano mengi ya soka duniani yanafanyika na hayana uhusiano wowote na FIFA na katika mashindano hayo FIFA haiwajibiki chochote katika uratibu au usimamizi wa hilo soka.Mkuu ni kweli adhabu wanazotoa TFF ni za uonevu mkubwa tena hasa TFF ya Wallace Karia
Lakini kwa upande mwingine TFF ndio wenye mpira wao. Yaani ni kama monopoly juu ya uongozi wa soka.
Huwezi kuandaa mechi za soka bila kibali chao. Kama ambavyo FIFA wanawavyoweza kuamua lolote, nchi yoyote bika kuingiliwa na serikali yoyote isipokua kwa issue za kijinai
Sasa sijui umeandika nini, kwani kuna mchezo wa soka ambao utaendeshwa bila kuratibiwa wa Tff?.. Hiyo itakuwa ni ndondo aka cha ndimu aka dogoliUmeuliza jambo la maana sana.
Mchezo wa soka ni mchezo wa hiari na hauna hati miliki ya mtu au taasisi yoyote. TFF kumfungia mtu asijihusishe na soka huko ni kuingilia haki na uhuru wa mtu binafsi unaotajwa kikatiba.
TFF inaweza kumzuia mtu asijihusishe na michezo ya soka inayoratibiwa na TFF na sio kumzuia mtu asijihusishe na soka.
Shukran kwa darasa zuri Mkuu. NimeelewaMkuu, FIFA haina hati miliki na mchezo wasoka na wala haina mamlaka ya moja kwa moja na kila mchezo wa soka unapochezwa duniani. Yapo mashindano mengi ya soka duniani yanafanyika na hayana uhusiano wowote na FIFA na katika mashindano hayo FIFA haiwajibiki chochote katika uratibu au usimamizi wa hilo soka.
Kumbuka kuwa sio kila nchi ni mwanachama FIFA, nchi kuwa mwanachama wa FIFA ni jambo la hiari na kuna vigezo na masharti kuwa mwanachama wa FIFA, na kama nchi sio mwanachama wa FIFA haiwajibiwi au kufaidika na FIFA.
Mwisho, nikukumbushe tu, mara kadhaa nchi fulani ziliwahi kufungiwa na FIFA, hii iliwanyima fursa ya kushiriki mashindano yanayotambulika na FIFA lakini wananchi wa nchi husika waliendelea kusakata soka kama kawaida.
Ajabu kabisa. TFF wanaweza zuia mtu asijihusishe na mipira wanaoratibu wao au vyama vinavyounda shirikisho lao. Lakini hawana hati miliki ya mpira. Na hawana haki ya kumzuia mtu kuorganise masuala ya mpira nje ya taasisi yao.Umeuliza jambo la maana sana.
Mchezo wa soka ni mchezo wa hiari na hauna hati miliki ya mtu au taasisi yoyote. TFF kumfungia mtu asijihusishe na soka huko ni kuingilia haki na uhuru wa mtu binafsi unaotajwa kikatiba.
TFF inaweza kumzuia mtu asijihusishe na michezo ya soka inayoratibiwa na TFF na sio kumzuia mtu asijihusishe na soka.
Sabau zilikuwa ni zingine na si kuwa hawakuwa na haki ya kufanya vile.Kuna watu/vilabu vilitaka kuanzisha SUPER LEAGUE huko Ulaya kukwepa vyama kama EUFA ligi ikafa kifo cha mende.
TFF ndiyo wanataka uamini hivyo. Kwamba bila kupita kwao hakuna soka.Sasa sijui umeandika nini, kwani kuna mchezo wa soka ambao utaendeshwa bila kuratibiwa wa Tff?.. Hiyo itakuwa ni ndondo aka cha ndimu aka dogoli