kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
Hivi nyie TFF mmerogwa na nani?
Wakuu nimekua nikisikitishwa sana na utendaji huu wa TFF hasa suala la ku update taarifa za mechi kwenye official website yao. Ni jambo la kushangaza sana kuona official website ya shirikisho kubwa la mpira kama TFF wanashindwa ku update taarifa za mechi mbalimbali zinazoendelea, ukiangalia website yao huwezi kukuta ratiba ya mechi zinazoendelea, matokeo mtu anaupdate hadi atakapojisikia, top scorer unakuta ni ya msimu uliopita.
Ni lini tutakua na viongozi thabiti wanaosikia uchungu wa maendeleo ya mchezo wa soka wenye wapenzi wengi kuliko michezo mingine, TFF inafikia hatua inashindwa hata na website za watu binafsi, mpira unahitaji watu smart sio blah blah, mnakera sana karne ya 21 bado mnaendesha shilikisho kubwa kama hilo kishamba!!! mnatia sana aibu badilikeni, na siku nikipata nafasi takuja kuwambia haya ofisini kwenu, na hakika hasira zikinipanda tampa mtu kofi.
Home | Tanzania Football Federation