Nina pingamizi dhidi ya malinziKamaaaa una pingamizi lolote kwa mgombea wa tff muda ndio huo ikipita 27june awapokei tena (angalizotu)..
Baada yahapo wataendelea na usaili ambapo jun 29 wahusika wataleta vyeti hslisi vikaguliwe na baadae wataendelea na mengineyoo
Mtaarifu na mwenzio
Wanaogopa kazi nzuri aliyofanya Malinzi kwa maendeleo ya soka letu.Takukuru ingieni mzigoni..kuna MTU ananunua wagombea
Naona unaongea huku unatetemeka kila kona ya mwili wako. Mayay kawashika pabaya huu mwakaHAHAHAAAAAA KAAAIBIKA CLINTON HILARY NA MITANDAOO YAKO SEMBUSE MAYAI..MSUBIRI TUNAMTOA KIBRA HUYOO..MAPEMAA KABISAA
Mitandao haipigi kura,nyie hangaikeni wee lakini Malinzi ndio mshindi. Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake.View attachment 530784 mtu anaaibika huko mitandaoni kabla ya wajumbe kufanya yao
Kwa nini?Malinzi hapana
Alikufisidi nini?Huyo malinzi ni fisadi bora aingie mtu mwenye uchungu wa mpira
Kwa kuwa hapa JF ndio mnapiga kuraMalinzi hata afanyeje hafikishi kura 30 mwaka huu
Mihemko sio mizuri hasa unaongea mbele za malijali.Acheni Nyege Mshindo...Malinzi akasimamie soka kwenye chama cha soka cha mkoa wake apishe wengine, hakuna alichokifanya cha maana zaidi ya kurudisha kiwango cha soka nyuma...ni sawa na mchezaji aliyeingia tokea benchi na kwenda kujifungisha!