Mohamed Mbelwa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 507
- 272
Kiongozi, kwa hili TFF wapo sawa hadi lifike mezani kwao.Hawa tff wamekuwa sababu kubwa ya wadau wa Michezo kukimbilia mahakamani, hebu angalieni suala la kakolanya wamelikalia kimya huku mchezaji akiendelea kuharibu kipaji kwa kukaa bench, wanategemea Yanga na kakolanya wayamalize hivi kweli litawezekana, harafu tukikimbilia mahakamani hawakawii kutufungia maisha,
Kama mpenda soka Natafuta wanamichezo wenzangu tufike mahakamani jumatatu tarehe 4/02/2019. Hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Itafahamika tuKwani Wambura na TFF ni tofauti.????..Wambura ni zalio la TFF
Kwani Wambura na TFF ni tofauti.????..Wambura ni zalio la TFF