TFF pamoja na viongozi wa klabu za Simba na Yanga mjitafakari. Mpira hauna siasa, dini, rangi wala kabila!

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
227
Reaction score
310
Mada tajwa hapo juu ya husika, tunaomba TTF, Viongozi wa clab za simba na yanga mjitafakari Kwa kitendo kilichofanyika jana katka uwanja wa taifa mnatokosea heshima kuona mnachanganya mpira na siasa. Kwani Kila mtu ana itikadi yake anayoiamini ila suburi uwe nje ya mpira ndo ufanye hiyo itikadi Yako. Mpira hauna siasa wa dini Wala Rangi Wala kabila.

Bwana Wallece karia tunaomba ujidhuru Kwa kulinda heshima yko pia TFF tunaomba adhabu kali itolewe Kwa vilabu vya Yanga na Simba kuruhusu wasemaji wake kuchanganya mpira na Siasa. Angalia Kenya walifungiwa na FIFA Sasa kabla hayo hayajafika kwetu tunaomba hatua kali zifuatwe Kwa ho watu waliotajwa.
 
Unawaonea bure hao Wasemaji wa hivyo vilabu. Na wao wamelazimishwa na mfumo wafanye hicho walichokifanya. Kwani mifumo ya Tanzania ina akili nzuri basi?
 
Mada tajwa hapo juu ya husika, tunaomba TTF, Viongozi wa clab za simba na yanga mjitafakari Kwa kitendo kilichofanyika jana katka uwanja wa taifa mnatokosea heshima kuona mnachanganya mpira na siasa. Kwani Kila mtu ana itikadi yake anayoiamini ila suburi uwe nje ya mpira ndo ufanye hiyo itikadi Yako. Mpira hauna siasa wa dini Wala Rangi Wala kabila.

Bwana Wallece karia tunaomba ujidhuru Kwa kulinda heshima yko pia TFF tunaomba adhabu kali itolewe Kwa vilabu vya Yanga na Simba kuruhusu wasemaji wake kuchanganya mpira na Siasa. Angalia Kenya walifungiwa na FIFA Sasa kabla hayo hayajafika kwetu tunaomba hatua kali zifuatwe Kwa ho watu waliotajwa.

Kimetokea nini..?

Fafanua basi....! Hee moja kwa moja Karia Ajiudhuru, Simba na Yanga Adhabu...kwakuwa Wasemaji Wao Wame mix Siasa na Boli...!

Ehee , Lete hbr tukuelewe..! Wamechanganya Vipi?

Iwapo walikuwa ni Waalikwa tu, hlf suala La kugonga msosi Lipo....Sioni sbb ya Lawama kabisaaaaa..

Hata mimi ningeenda!
 
Mpira hauchangamani na siasa. Walishajitoa na wakiendelea ni kufungiwa. Kiherehere chao kwa faida zao binafsi, zitaumiza mashabiki wengi, hasa ambao hatuna vyama wala kufungamana kokote. Hawa wachongewe FIFA tu
 
Mada tajwa hapo juu ya husika, tunaomba TTF, Viongozi wa clab za simba na yanga mjitafakari Kwa kitendo kilichofanyika jana katka uwanja wa taifa mnatokosea heshima kuona mnachanganya mpira na siasa. Kwani Kila mtu ana itikadi yake anayoiamini ila suburi uwe nje ya mpira ndo ufanye hiyo itikadi Yako. Mpira hauna siasa wa dini Wala Rangi Wala kabila.

Bwana Wallece karia tunaomba ujidhuru Kwa kulinda heshima yko pia TFF tunaomba adhabu kali itolewe Kwa vilabu vya Yanga na Simba kuruhusu wasemaji wake kuchanganya mpira na Siasa. Angalia Kenya walifungiwa na FIFA Sasa kabla hayo hayajafika kwetu tunaomba hatua kali zifuatwe Kwa ho watu waliotajwa.
Kama una wazungumzia TTF uko sawa lakini Kama unawazungumzia TFF jitafakari Tena…
 
Mada tajwa hapo juu ya husika, tunaomba TTF, Viongozi wa clab za simba na yanga mjitafakari Kwa kitendo kilichofanyika jana katka uwanja wa taifa mnatokosea heshima kuona mnachanganya mpira na siasa. Kwani Kila mtu ana itikadi yake anayoiamini ila suburi uwe nje ya mpira ndo ufanye hiyo itikadi Yako. Mpira hauna siasa wa dini Wala Rangi Wala kabila.

Bwana Wallece karia tunaomba ujidhuru Kwa kulinda heshima yko pia TFF tunaomba adhabu kali itolewe Kwa vilabu vya Yanga na Simba kuruhusu wasemaji wake kuchanganya mpira na Siasa. Angalia Kenya walifungiwa na FIFA Sasa kabla hayo hayajafika kwetu tunaomba hatua kali zifuatwe Kwa ho watu waliotajwa.
Kweli....
 
Back
Top Bottom