Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
matajiri hawagonbezwi!Tff wasisahau Kuna mwaka Makonda akiwa Mkuu wa mkoa yeye na MO walikaa katika bench la Simba.
Nilishangaa Sana lakini kwa wengi ilionekana kitu Cha kawaida.
Hii tuikatie rufaaTff wasisahau Kuna mwaka Makonda akiwa Mkuu wa mkoa yeye na MO walikaa katika bench la Simba.
Nilishangaa Sana lakini kwa wengi ilionekana kitu Cha kawaida.
Wanajitekenya, hahaha 🤣Kwa hiyo alivunja kanuni mara 3 na hawakumchukulia hatua, wanakuja kumpa onyo baada ya kupata taarifa klabu imekamilisha taratibu za kumuwezesha kukaa kwenye benchi. Sasa hilo onyo la kazi gani?
Anyway, huyu anaenda kuchukua nafasi ya Saidi Kichwa mwezi February.
Boss anaombwa sio kufokewa..Kwa hiyo alivunja kanuni mara 3 na hawakumchukulia hatua, wanakuja kumpa onyo baada ya kupata taarifa klabu imekamilisha taratibu za kumuwezesha kukaa kwenye benchi. Sasa hilo onyo la kazi gani?
Anyway, huyu anaenda kuchukua nafasi ya Saidi Kichwa mwezi February.