TFF screws up again!!!

Alpha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
688
Reaction score
335

:: IPPMEDIA


TFF criticised for poor preps of Brazil match


What is so difficult about playing a national anthem? Please someone tell me because i really cannot understand this level of incompetence.

Can you really blame those who view us as lazy, incompetent, fools?
 
Ivi huwa wanakuwaga hawana back up jamani mbona ata mtoto mdogo hayo mambo anafanya
 
Mara zote mbili nimekuwa uwanja wa Taifa, na nimeshuhudia aibu hiyo kubwa tunayotiwa na TFF. Zamani tulikuwa na Band ya polisi, ilikuwa ni burudani tosha kuwaona wakipiga nyimbo za mataifa mbali mbali. Tatizo ninaloliona hapo ni TFF kuhodhi kila kitu. Shughuli nyingine ambazo, sio core function yao, wa out source kwakweli. Vitu kama uuzaji wa Tiketi, upigaji wa nyimbo za Taifa watoe kwa special event organizers. nothing will go wrong this way!

Jana, Joel Bendera, Tenga, na Jakaya walikuwa na wakati mgumu kuukubali ukweli kuwa hakuna nyimbo za Taifa wakati wao wamejiandaa kuzikiliza kwa heshima na taadhima zote. Poor us!!
 
tatizo letu wa TZ ni kutokukubali kuwajibika,hivi kwa nini asitokee angalau mtu mmoja pale tiefef akajiuzulu kwa uwajibikaji wa aibu hii?
 
Unajua zamani kabla ya hizi teknolojia bendi za jeshi zilikuwa zinapractice for just a week na wanakutolea kitu swaaaaafi! Hata uwe wimbo wa taifa wa kichina!
 
TFF were thinking more of impressing Kikwete than winning the game for the pride of our nation.

Screw you TFF!!!!
 
tatizo letu wa TZ ni kutokukubali kuwajibika,hivi kwa nini asitokee angalau mtu mmoja pale tiefef akajiuzulu kwa uwajibikaji wa aibu hii?

There is never any accountability in TZ, It's always just excuses. Someone should obviously resign or be fired after screwing up such a simple thing twice.
 
..tatizo ni kuwa TFF wanamaind sana mshiko! Wanaona kuingiza watu 24 hadi 30 wa Brass Band ya Police watakula damage saana lakini hapo hapo wanatoa tiketi za bure 120 kwa ajili ya waandishi wa Habari!! Nchi hii!!?
 
issue ya mpira hata mimi ilinishangaza.

Mpira uliotumiwa Jumamosi ni ule uliotumika kwenye Kombe la Afrika miaka michache iliyopita (Ghana 2008). Ilipaswa TFF watumie Jabulani kwa kuwa ndiyo current official balls.
 
There is never any accountability in TZ, It's always just excuses. Someone should obviously resign or be fired after screwing up such a simple thing twice.

Hapo kwenye red - sema kabisa Tenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…