TFF simamisheni ligi mpaka world cup iishe

TFF simamisheni ligi mpaka world cup iishe

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,358
Reaction score
5,783
Kuanzia tarehe 20 dunia nzima ya mashabiki wa soka macho na masikio ni nchini Qatar. Itakuwa kero sana kwa mashabiki wenye akili timamu anaingia kibanda umiza kuangalia mechi ya Senegal dhidi ya Uholanzi halafu anakutana na mechi ya yanga dhidi ya Dodoma jiji kwenye TV nyingine, hiyo ni kero kubwa sana tena unakuta imewekewa na sauti.
 
Acha kipigwe mkuu, kuna sisi ambao nowdays tuna enjoy sana ligi ya nyumbani kuliko huko Ulaya.

Binafsi ningependelea ligi kusimama kama kungekua na wachezaji wa timu zetu wanashiriki huko, tofauti na hapo kipigwe tu.

Mwisho kama wewe unaipenda mechi ya Ghana v Uruguay utaangalia hiyo nasi tutaangalia tunayopenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligi haiwezi kusimamishwa kwa ajili ya mashindano ambayo sisi hatushiriki na wala hatuna mpango wa kuja kushiriki hata kwa siku za usoni.
 
Back
Top Bottom