Nimetaja sababu Boss.Kwa sababu wachezaji wetu Wengi wako Qatar wanacheza sio?
Sababu za kipumbavuNimetaja sababu Boss.
Wenye akili timamu wameelewa.Sababu za kipumbavu
Tofauti kabisaIla michuano ya Afrika (Afcon)inapochezwa na kutazama mechi za ligi ya ulaya huko kwako huwa si Tatizo!
Pia ni kumkatili Morrison, badala iangalie Ghana ikicheza dhidi ya Uruguay mnampeleka Majarubani Manungu akacheze na MtibwaHii nchi sasa uhuru wa kutoa maoni, umepita kwenye kile kiwango chake cha kawaida.