TFF tamko lenu kuhusu Yanga kufungiwa ni lipi?

TFF tamko lenu kuhusu Yanga kufungiwa ni lipi?

lukala

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
594
Reaction score
590
Habari wanamichezo wenzangu wa kabumba, sitaki poteza muda naomba TFF itoe maelezo kuhusiana na mchezaji wa Young African ambaye hakutimiza vigezo kwenye mfumo wa usajili.

Imtaje Nina kamili la mchezaji husika, aangaliwe amecheza mechi Gani? Nasheria zinasemaje kuhusiana na kosa hilo? na adhabu yake nini?

Soma
- Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
 
Wachezaji wote wa Yanga walipata baraka ya FIFA na TFF na wana vibali vya kucheza mechi za ndani na za CAF, changamoto ni za kiofisi kuweka mafaili sawa.

Hivyo kaa kwa kutulia kipigo cha mbwa koko kipo pale pale tarehe 20!
 
Kati ya TFF na Yanga nani anatakiwa kutoa hiyo taarifa.?
 
Back
Top Bottom