Habari wanamichezo wenzangu wa kabumba, sitaki poteza muda naomba TFF itoe maelezo kuhusiana na mchezaji wa Young African ambaye hakutimiza vigezo kwenye mfumo wa usajili.
Imtaje Nina kamili la mchezaji husika, aangaliwe amecheza mechi Gani? Nasheria zinasemaje kuhusiana na kosa hilo? na adhabu yake nini?
Wachezaji wote wa Yanga walipata baraka ya FIFA na TFF na wana vibali vya kucheza mechi za ndani na za CAF, changamoto ni za kiofisi kuweka mafaili sawa.
Hivyo kaa kwa kutulia kipigo cha mbwa koko kipo pale pale tarehe 20!