maombi ya azamfc yanga na simba kuhitaji maproo kufikia 10 ni sahihi.
nawashauri tff watoe jibu haraka.
tff lazima mpitishe sio suala la kufikiri la sivyo kama hawataki vilabu hivyo kugomea ligi.
kama ni suala la wachezaji kwa ajili ya timu ya taifa kuna vilabu vingi vikiwa makocha wazawa hapo waonyeshe vipaji vyao vya ukocha taifa cup mmeifuta