TFF:Tuambieni zimepatikana ngapi, mnakula ngapi, mnatangaza ngapi?

TFF:Tuambieni zimepatikana ngapi, mnakula ngapi, mnatangaza ngapi?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Pambano la watani wa jadi likiisha kifurahisho kingine kinaelekea kwenye mapato ya mechi ambapo muda si mrefu tatasikia loss imepatikana...kwa kuelekea xmass na kumwogopa mungu tunaomba mwakaleebele na tenga tuambieni ukweli zimepatikana ngapi mtatutajia ngapi hadharani,na tunakula ngapi mueweze kutuvutia kwenye uchaguzi ujao....
Tumechok na vipato vya ajabu vinavyotangazwa mara kwa mara
 
Back
Top Bottom