kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,183
- 1,619
Nimeiangalia game ya jana na baadhi ya game ya taifa stars, nmegundua tatizo ni viongozi wa TFF kuajiri wrong coaches ambao hawaendani na characteristics za wachezaji wetu. Uganda na Kenya wameshajua hilo kwasasa wanaajiri wamkocha wanaoendana na characteristics za wachezaji wao.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojaliwa vipaji vya soka kama siyo afrika kwa sasa inaweza ikawa east africa. Na baadhi ya magwiji wa soka waliofika hapa wali recomend hilo.
nmefanya study ndogo nikagundua tatizo kubwa linaloisibu timu ya taifa ni uongozi kushindwa kuwa na wataalamu wa kuwashauri kutokana na uelewa wao, waangalie aina gani ya kocha anayeendana ama anayeelewa characteristics za wachezaji wetu ambaye aje aingize philosophy itakayo improve wachezaji wetu siyo kuwauwa kabisa kiuchezaji kama ilivyotokea kwa timu yangu Chelsea, walikuja kustuka msimu huu baada ya kufukuza makocha wengi sana.
Ushauri wangu kwa TFF, ningeshauri waongee na Masudi Juma. yule jamaa ni Kocha mzuri na anafahamu characteristics za wachezaji wetu na anawajua pia. nadhani atawasaidia kuwaimprove tofauti na hao makocha mnaotuletea wana implement systems zao za west africa, wakati kwetu huku wachezaji wanakula chips na ugali dagaa.