TFF tumieni ' Kigezo ' hiki ili kuamua kati ya Simba na Yanga nani ndiyo acheze na Klabu ya Sevilla ya nchini Hispania ( Spain )

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Timu ambayo nashauri TFF ndiyo iichague Kucheza na Klabu ya Sevilla ya Hispania ( Spain ) iwe na Sifa Kuu zifuatazo:

1. Iwe Timu Tajiri Tanzania kwa sasa na imeiletea Sifa Kubwa nchi ya Tanzania kwa mwaka 2019
2. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake wengi kama si wote wanajua sana Ligha ya Kiingereza
3. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake kila baada ya Saa 72 huwa wanapanda Mbung'o / Ndege
4. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake wanalala Hoteli za Nyota Nne na Tano za kuanzia Dola 500
5. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake Mshahara wake wanapokea kwa wakati na Posho zao ni nyingi
6. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake kila mmoja analala Chumba chake akiwa Hotelini
7. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake wanakula mmoja mmoja na Wanashiba na siyo wanakula kwa Makundi kisha wengine hawashibi, wanakomboleza Sahani huku wengine wakiiba hadi Vijiko, Chumvi na Pilipili

Nawasilisha.
 
Iwe timu ambayo mwl wao anawapa hela ya chai na kuwasaidia kimaisha na familia zao
 
Isiwe timu inayoamini ushirikina waangalie rekodi timu gani inaamini zaidi ushirikina pia iwe timu ambayo mashabiki wake wanna uwezo wa kujaza uwanja kwa kulipa sio kulipiwa pia waangalie timu ambayo ipo kiwango Cha juu kwa kutumia viwango vya CAF
 
8. Isiwe timu ambayo kudai haki yako ni haramu.
9. Isiwe timu ambayo itatembeza Bakuli Jukwaani.
10. Isiwe timu ambayo inaruka ukuta kuingia uwanjani.
11. Isiwe timu ambayo kocha wao ana ukoko mdomoni.
12. Isiwe timu ambayo itafungwa na Azam
 
Huu ni Ubaguzi wa Kishamba, Kila Timu inakuwa na Wakati wake wa kufanya Vizuri au vibaya hata Simba kuna kipindi mambo yalienda kombo hadi Young Africans wakachukua Ubingwa mara 5 mfufulizo na Azam mara 1. Tupunguze huu Ubaguzi sio jambo zuri wala la kujivunia, Ubaguzi ni Ubaguzi haijalishi chanzo chake!
 
Khaaa wewe wa wapi wewe!? Sasa unataka mtu ajikombekombe kwa Yanga wakati anajua kabisa kuwa Yanga ni gonjwa na zigo kwa taifa!
Kuikumbatia Yanga ni sawa na kufanya bhangi na gongo ni chai andazi central police
 
Iwe timu ambayo ilijichotea kikapu cha magoli 17 ugenini iliposhiriki michuano ya CAF 2+5+5+2+4-1=17 kuliko timu zingine zote zilizotinga robo fainali.
 
Hizo Hapo mkuu
IMG_20190430_194559_577.jpeg
 
Timu ambayo nashauri TFF ndiyo iichague Kucheza na Klabu ya Sevilla ya Hispania ( Spain ) iwe na Sifa Kuu zifuatazo:

1. Iwe Timu Tajiri Tanzania kwa sasa na imeiletea Sifa Kubwa nchi ya Tanzania kwa mwaka 2019
2. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake wengi kama si wote wanajua sana Ligha ya Kiingereza
3. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake kila baada ya Saa 72 huwa wanapanda Mbung'o / Ndege
4. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake wanalala Hoteli za Nyota Nne na Tano za kuanzia Dola 500
5. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake Mshahara wake wanapokea kwa wakati na Posho zao ni nyingi
6. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake kila mmoja analala Chumba chake akiwa Hotelini
7. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake wanakula mmoja mmoja na Wanashiba na siyo wanakula kwa Makundi kisha wengine hawashibi, wanakomboleza Sahani huku wengine wakiiba hadi Vijiko, Chumvi na Pilipili

Nawasilisha.
Mkuu hiyo namba 2 hivi upande wa pili anayeweza kuongea hata the thee theee ball was is goed faster and me go faster also ni Nani???

Kuna clip Fulani ya muda ya anko ngasa kama unayo unaweza kushare anakipuyanga kiingilish balaa!
 
Timu ambayo nashauri TFF ndiyo iichague Kucheza na Klabu ya Sevilla ya Hispania ( Spain ) iwe na Sifa Kuu zifuatazo:

1. Iwe Timu Tajiri Tanzania kwa sasa na imeiletea Sifa Kubwa nchi ya Tanzania kwa mwaka 2019
2. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake wengi kama si wote wanajua sana Ligha ya Kiingereza
3. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake kila baada ya Saa 72 huwa wanapanda Mbung'o / Ndege
4. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake wanalala Hoteli za Nyota Nne na Tano za kuanzia Dola 500
5. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake Mshahara wake wanapokea kwa wakati na Posho zao ni nyingi
6. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake kila mmoja analala Chumba chake akiwa Hotelini
7. Iwe Timu ambayo Wachezaji wake wanakula mmoja mmoja na Wanashiba na siyo wanakula kwa Makundi kisha wengine hawashibi, wanakomboleza Sahani huku wengine wakiiba hadi Vijiko, Chumvi na Pilipili

Nawasilisha.

Jibu sahihi ni Simba FC. Watoto wa Mze Malecela (wagogo wa Jangwani) si timu. Waacheni tu wakaombe bungeni na mitandaoni.
 
Back
Top Bottom