Hahahah ndo mdhamini mkuu wa ligi mi nilikua sjui ametangazwa lini aisee
Bila kusahau yanga pia inadhaminiwa na mzee kilomoni....maana naona walimualika kwenye kubwa kulikoLigi haitakuwa na mdhamini lakini viongozi wetu wa TFF watadhaminiwa na Mo.
Tupo na watu wa TFF Kiongozi.Bila kusahau yanga pia inadhaminiwa na mzee kilomoni....maana naona walimualika kwenye kubwa kuliko
Hakuna haja ya ligi kuwa na mdhamini,wacha baadhi ya wachezaji wa timu fulani waendelee kushindia matikiti mpaka kieleweke...tutaheshimiana tu...tff wasihangaike kutafuta mdhamini mpaka timu fulani inyooke vizuriTupo na watu wa TFF Kiongozi.
Kwa msimu huu pia swala la mdhamini bado zitakua ni porojo tu maana wadhamini walishakataa swala la ligi yetu kuwa na timu 20 wao walitaka zipungue atleast ziwe 16Habar za leo wakuu kama kichwa cha habar kinavojieleza sina mengi nataka kujua mdhamini mkuu ligi Bara ni nani maana naona siku zina kwenda hatangazwi kama ambavo tuliiambiwa atatangazwa siku chache kabla ya ligi kuanza sasa imeshaanza maana mchezo wa ngao wa jamii umechezwa kuashilia kufunguliwa kwa ligi kuu bara naomba mwenye namba za karia na wambura wawapigie muwaambie hatutaki mambo kama ya mwaka jana ligi. Mpka imeisha bila mdhamini mkuu,, kama wameshindwa kuongoza Tff basi watupishe.