sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
TFF tunawaangalia tu.. Narudia tena TFF tunawaangalia tu.. Haingii akilini kabisa, Eti;
1. Tumecheza na AFC Leopards, mnaanza kumaindi kua tumecheza mechi bila kufuata taratibu. Hizo taratibu zimeanza lini? Tumecheza mechi kibao na timu toka nje ya nchi mkawa kimya, iweje leo iwe nongwa?? Au mnataka nasi tuipime timu yetu na timu zinazoshiriki ndondo za mkoa wa Morogoro? Simba SC ya hivi sasa ni ya Uturuki bhana.
2. Leo mnamfungia meneja wa timu eti kisa wachezaji wa Simba SC walichelewa kuripoti kambi ya Taifa Stars.. Mbona meneja wa Ndala mmemuacha? Au kwa vile mmesikia kazi kubwa aliyokua akiifanya Meneja ya kuunganisha timu kati ya wachezaji, uongozi na benchi la ufundi.. ndo mmeamua kutuvunja nguvu. Kauli mbiu yetu ni NGUVU MOJA.. na hii nguvu haiwezi vunjwa kirahisi kama mnavyodhani.
TFF mbinu na njama zenu ovu zenye lengo kutuyumbisha tumezing'amua.. Na tutakabiliana nazo kwa jinsi zinavyokuja.
Nikiripoti toka katika viyunga vya Msimbazi... Ni Mimi sembo wa Simba TV 😡😡