Linguistic JF-Expert Member Joined Mar 16, 2021 Posts 3,669 Reaction score 8,268 Feb 24, 2022 #1 Baada ya ujio wa Taarifa ya TFF kuhusu mawakala wanaotambulika nimeona watu wanakuja na umeneja vs uwakala HEBU TUPENI ELIMU JAMANI. Ila je umeneja ni mtu ama taasisi? Je, TFF inautambuaje umeneja na misingi yake ni nini na unafanya kazi vipi tofauti na uwakala? TUNACHAMBUAJE WAJOMBA. Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya ujio wa Taarifa ya TFF kuhusu mawakala wanaotambulika nimeona watu wanakuja na umeneja vs uwakala HEBU TUPENI ELIMU JAMANI. Ila je umeneja ni mtu ama taasisi? Je, TFF inautambuaje umeneja na misingi yake ni nini na unafanya kazi vipi tofauti na uwakala? TUNACHAMBUAJE WAJOMBA. Sent using Jamii Forums mobile app