TFF utaratibu wenu wa watu kuingia mpirani uwanja wa Uhuru / Taifa ni mbovu

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2007
Posts
7,036
Reaction score
9,331
Nipo hapa uwanja wa uhuru, kuangalia mechi ya Azam na Simba, kusema kweli utaratibu wa kuingia uwanjani ni mbovu, askari wamejazana kwenye vimilango, foleni ndefu na hazisogei, fujo. Tumerudishwa enzi zile za watu kukimbizwa kimbizwa uwanjani na askari wa farasi.

Hii mechi ni kubwa kwa nini msiweke utaratibu mzuri?
Watu wanakatishwa tamaa kuja viwanjani kwa sababu ya mambo kama haya, badirikeni ai
 
Kaka ahsante mie nilifika na kugeuza kurudi nyumbani mpira ni burudani siyo kukaa foleni utafikiri kipindi cha vitambulisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…