mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
unaongelea makocha wa nje wakati marefa wa ligi hawakulipwa toka msimu uliopita hadi leo....wakidai wanatishiwa[emoji3][emoji51]Hakika inashangaza sana kwa TFF kupelekwa FIFA na aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike kwa kutokulipwa mishahara yake.Kwanini TFF wakati inavunja mikataba na Makocha isiwalipe kabisa Madai yao? Kwani TFF haina bajeti ya Makocha ?Kocha Mtanzania Charles Boniface Mkwassa nae sijui kama kalipwa kwani alikuwa anaidai TFF.Tunaushauri Uongozi wa TFF iheshimu mikataba ya watendaji wake,Tanzania kushtakiwa FIFA na kulitia aibu Taifa.
...mzaha mzaha hutumbua usaha
Amunike asipolipwa tutamshauri akafungue kesi kama yule mkulima wa sauzi
Uswahili mwingi kwa Karia pale Karume.Hakika inashangaza sana kwa TFF kupelekwa FIFA na aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike kwa kutokulipwa mishahara yake.Kwanini TFF wakati inavunja mikataba na Makocha isiwalipe kabisa Madai yao? Kwani TFF haina bajeti ya Makocha ?Kocha Mtanzania Charles Boniface Mkwassa nae sijui kama kalipwa kwani alikuwa anaidai TFF.Tunaushauri Uongozi wa TFF iheshimu mikataba ya watendaji wake,Tanzania kushtakiwa FIFA na kulitia aibu Taifa.
Msomali anajenga kwao Mogadishu na Katibu wake anajenga kwao Burundi.Kazi yao kujaza matumbo yao tuu, sijui hela hua wanapeleka wapi
Soka letu linahitaji watu sahihi watukwamue,
karia na wenzake ni wahujumu hata pesa ya ubingwa wa kombe la AZAM hawakuwalipa Mtibwa!Hakika inashangaza sana kwa TFF kupelekwa FIFA na aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike kwa kutokulipwa mishahara yake.Kwanini TFF wakati inavunja mikataba na Makocha isiwalipe kabisa Madai yao? Kwani TFF haina bajeti ya Makocha ?Kocha Mtanzania Charles Boniface Mkwassa nae sijui kama kalipwa kwani alikuwa anaidai TFF.Tunaushauri Uongozi wa TFF iheshimu mikataba ya watendaji wake,Tanzania kushtakiwa FIFA na kulitia aibu Taifa.