TFF wamethibitisha kauli ya Mexime

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Inawezekana kabisa Tanzania tunaviongozi wajinga ila kwa hili la kusogezwa muda mechi ya SIMBA vs YANGA itoshe kusema tunao viongozi Wajinga + Wapumbavu.

Barua inayosambaa mitandaoni ya kusogeza muda mbele hawa jamaa weshindwa hata kuomba radhi!
 
Kuna watu wanadai ni sababu ya wachezaji waliofunga wafuturu kabisa... Wanasahau kuwa hata hivyi hao wachezako hawawezi kula chakula cha maana zaidi ya juice na maji ili wasije zingua kwenye game kitu ambacho wangeweza simamisha game kwa dak 5 wachezaji wakanywa hivyi vitu mbalanga likaendelea
 
Mkuu hawa watu pumbavu sana tena sana tu. Jambo jepesi mechi ingeanza saa kumi tu ingekuwa poa. mbona mechi nyingi zimechezwa saa kumi na huku baadhi ya wachezaji wakiwa wamefunga.
 
Swala s wizara wala serikal Tff na bodi ya ligi ndo wenye zamana na mchezo wa Mpira Wa miguu Sema hawajitambui na hawajielew
 
Inawezekana kabisa Tanzania tunaviongozi wajinga ila kwa hili la kusogezwa muda mechi ya SIMBA vs YANGA itoshe kusema tunao viongozi Wajinga + Wapumbavu.

Barua inayosambaa mitandaoni ya kusogeza muda mbele hawa jamaa weshindwa hata kuomba radhi!
Sio kusogezwa mbele tu, serikali ina uwezo wa kuifuta kabisa mechi kwa siku fulani, na kuipeleka siku nyingine. Kumbuka sio TFF waliofanya hivyo, bali ni serikali kupitia BMT
 
Sababu Ni uzinduzi was kitabu Cha mwinyi live muda huu tbc1
 
Sio kusogezwa mbele tu, serikali ina uwezo wa kuifuta kabisa mechi kwa siku fulani, na kuipeleka siku nyingine. Kumbuka sio TFF waliofanya hivyo, bali ni serikali kupitia BMT
Serikali haipaswi kuingilia haya mambo, kuna sababu gani ya muhimu?
 
TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda wa kuanza mchezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Someni vzr hiyo taarifa
Kwani hiyo wizara ndiyo ilipanga mechi ichezwe saa 11?
 
Nasikia Uto wameambiwa na mganga wao wagome kubadilishwa kwa muda wa mchezo, wataingiza timu uwanjani saa 11 jioni.
 
serikali ndo imesogeza muda acheni kuwalaumu tifua tifua
Serikali haihusiki na mpira. Wenye mamlaka ya kusimamia mpira ni TFF, wao ndio waliotunga sheria za soka, na wao ndio wasimamizi. Chochote kinachotokea kuhusiana na mpira, wanaulizwa wao, na sio serikali.
 
serikali ndo imesogeza muda acheni kuwalaumu tifua tifua
Nani mwenye mpira.? FIFA kila leo wanapiga marufuku serikali kuingilia michezo.

Wanapaswa 'kusupport' tu. Ona sasa wanatuletea utopolo wao mpirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…