TFF wamethibitisha kauli ya Mexime

Serikali haipaswi kuingilia haya mambo, kuna sababu gani ya muhimu?
Serikali inaweza kuingilia jambo lolote lie kwa maslahi ya wananchi wake. Utajuaje, pengine kuna ishu za kiusalama zimeonekana je?
 
TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda wa kuanza mchezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Someni vzr hiyo taarifa
Tena bila ya sababu yeyote ile kutajwa wala kuomba radhi kwa mashabiki.

Huku nikutokutuheshimu watu wa mpira.
 
Serikali haihusiki na mpira. Wenye mamlaka ya kusimamia mpira ni TFF, wao ndio waliotunga sheria za soka, na wao ndio wasimamizi. Chochote kinachotokea kuhusiana na mpira, wanaulizwa wao, na sio serikali.
Wizara husika ipo chini ya TFF sio..

Hapa ni kitabu cha mzee basi hakuna jipya sijui walikuwa hawajui kama ni game leo
 
Serikali inaweza kuingilia jambo lolote lie kwa maslahi ya wananchi wake. Utajuaje, pengine kuna ishu za kiusalama zimeonekana je?
Kwani wangeandika hapo sababu sisi tungehoji hivi?
 
Sio kusogezwa mbele tu, serikali ina uwezo wa kuifuta kabisa mechi kwa siku fulani, na kuipeleka siku nyingine. Kumbuka sio TFF waliofanya hivyo, bali ni serikali kupitia BMT
Narudia kukuelewesha uwezo huo hawana na kama wanao taja kanuni.
 
Wizara husika ipo chini ya TFF sio..

Hapa ni kitabu cha mzee basi hakuna jipya sijui walikuwa hawajui kama ni game leo
Siasa na matakwa binafsi ndio yametumika kusogeza mbele hii mechi. Hakuna tatizo lolote la kiusalama.

TFF ilibidi isimamie sheria zake. Wizara ipo katika kusaidia soka, na sio kuendesha soka.
 
Siasa na matakwa binafsi ndio yametumika kusogeza mbele hii mechi. Hakuna tatizo lolote la kiusalama.

TFF ilibidi isimamie sheria zake. Wizara ipo katika kusaidia soka, na sio kuendesha soka.
Mama alitaka azindue kitabu na game acheki akasahau mshika mawili moja humponyoka
 
Serikali inaweza kuingilia jambo lolote lie kwa maslahi ya wananchi wake. Utajuaje, pengine kuna ishu za kiusalama zimeonekana je?
Zipi, kama hizo halafu wao wawe salama kuzindua kitabu cha Mzee wetu?
 
Kwa
tff ni wakurupukaji tu.Kwanza hyo ramadhan imekuja ghafla?Mbona ramadhan tunayo leo ni ck ya 25?
 
Wiki 3 kabla hawakujua kuwa kuna kufunga? Ni wajinga wajinga tu.
 
Wanasababu za kijinga sana kama hiyo ndio sababu. Kwani mfungo umeanza leo gafla? Kama mfungo umeanza takribani wiki tatu zilizopita kwann hawakuchukua maamuzi mapema? Mbona kunatimu nyingine zinacheza hata bila kufuturu au nazo hazistahili kupewa kipaombele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…