rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Wakati swala la mchezaji Lameck Lawi likiwa kwenye kamati ya Sheria na hadhi ya wachezaji tayari taarifa zinasema ameshafanyiwa vipimo na timu ya Genk ya Ubelgiji.
Kama wamemfanyia vipimo ni wazi kuwa mchezaji huyo ana nakala zote za Chama cha Soka Tanzania TFF.
Kitendo cha kamati ya TFF kukaa ili kuamua shauri Hilo ni Kama usanii kwa sababu maamuzi yameshatolewa na pia iwapo Simba itaonekana Ina haki hawaoni itawaingiza kwenye mgogoro mkubwa na club ya Genk ambayo imevutiwa sana na wachezaji wa Kitanzania.