rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Umeelewa swala linalojadiliwa, au wewe ni wale wanaojibu mitihani bila kusoma instruction.Shauri lilishaisha!
Mwacheni kijana atafute malisho, acheni biashara ya udalali!
Huu ni ushauri wa kipumbavu na hizo kamati Zina kazi gani.TFF wapuuzi sana walisema Simba na coastal Union wamalizane kuhusu swala la huyo mchezaji.
Kwa hiyo kwenye hizo kamati wanajadili Nini Kama hamna kesi.Hamna kesi hapo wewe usilete habari zako lameck lawi ni mchezaji halali wa coast union hajawahi hata kuvaa jezi ya simba hivyo coast wameshamuuza fanya yako
Umejuae kama kipaji chake kinaenda kufa. Sio Kila Jambo unatanguliza ushabiki.Timu inamchukua mtu kwa kumuua kipaji chake anataka kwenda Nje wapo busy kuwa ni mchezaji wetu alicheza namba ngapi hapo Simba vima nyie kama sio kutaka kumpeleka kwa Mkopo Geita gold kaona fursa mnataka abaki home ndio maana Tanzania ina wachezaji wachache sana nje kwa sababu ya huu ubabaishaji..
Kama mtu ajavaa jezi ya Simba muda wote si kuua kipaji chake au unadhani tunazungumzia nini?Umejuae kama kipaji chake kinaenda kufa. Sio Kila Jambo unatanguliza ushabiki.
Kama uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia hapo siwezi kukubishiaKama mtu ajavaa jezi ya Simba muda wote si kuua kipaji chake au unadhani tunazungumzia nini?
Yawezekana Simba na Coastal wameshamalizana.TFF wapuuzi sana walisema Simba na coastal Union wamalizane kuhusu swala la huyo mchezaji.
Ubaya ubwela ni uhuni uhuni kwenye sajili za Bongo na hapo bado Kibu,mkegeuka upande mwengine mna Aweso.Wakati swala la mchezaji Lameck Lawi likiwa kwenye kamati ya Sheria na hadhi ya wachezaji tayari taarifa zinasema ameshafanyiwa vipimo na timu ya Genk ya Ubelgiji.
Kama wamemfanyia vipimo ni wazi kuwa mchezaji huyo ana nataka zote za chama Cha soka Tanzania TFF. Kitendo cha kamati ya TFF kukaa ili kuamua shauri Hilo ni Kama usanii kwa sababu maamuzi yameshatolewa na pia iwapo Simba itaonekana Ina haki hawaoni itawaingiza kwenye mgogoro mkubwa na club ya Genk ambayo imevutiwa Sana na wachezaji wa kitanzania.
Nikimuona shabiki wa Simba anang'ang'ana na swala la Lameck Lawi namuona chizi tu.Lameck lawi sio mchezaji wenu acheni kujipendekeza
Bado Simba walikataa linasubiri kusikilizwa na kutolewa maamuziYawezekana Simba na Coastal wameshamalizana.
Maamuzi Gani simba wakatae ni mchezaji wao huyo ni mchezaji wa coast unionBado Simba walikataa linasubiri kusikilizwa na kutolewa maamuzi