TFF wametoaje kibali kwa Lameck Lawi wakati suala lake lipo kwenye Kamati ya Hadhi ya Wachezaji?

Chanzo cha taarifa plz....unaitaja Simba kwanini sio coastal?
 
Mashabiki wa Simba achaneni na lawi akatafte maisha. Itakuwa vi aibu sana kuanza kumgombania lawi wakati ameshapata sehemu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…