Na kwanini wasimtafute na yule mshabiki waishie kuadhibu club tu?Hapo watakaokula fain ni Yanga sio shabiki personal. Si utaona muda wa adhabu ukifika
Timu ndio inalo jukumu la kumtafuta mhusika lkn adhabu ya utovu wa nidhamu kwa mashabiki hubebwa na timu.Na kwanini wasimtafute na yule mshabiki waishie kuadhibu club tu?
Nafikiri timu kushirikiana na mamlaka zinazosimamia masuala ya kinidhamu zinapaswa kushirikiana kuhakikisha kwamba yule muhuni anakamatwaTimu ndio inalo jukumu la kumtafuta mhusika lkn adhabu ya utovu wa nidhamu kwa mashabiki hubebwa na timu.
Chikola kawa muokozi wenu kolotanouzdadi.Chikola weeeee umetufundishia mtu adabu....
Utajaribu kuunda maneno wee upate japo faraja ila wapiiiii...Chikola kawa muokozi wenu kolotanouzdadi.
Kawaida tu kwenye soka.Utajaribu kuunda maneno wee upate japo faraja ila wapiiiii...
Tabora wamewang'ata ng'aaaaaa