TFF wanadaiwa mamilioni na mama F. Bayi

TFF wanadaiwa mamilioni na mama F. Bayi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimesikia aibu sa na kuona mzee wangu Filbert Bayi akilalamika TFF kwa kuidai pesa za mamilioni kwa kuihifadhi timu ya Taifa.

Nawapa onyo wafanyabiashara mnaodanganywa kusaidia timu za taifa mtalipwa mtalia.

F.Bayi ameiletea history Tanzania katika kujikimu akaweka vitega uchumi vyake.

Haitoshi taasisi kama TFF inataka kuwaumiza wasiendelee tena kwa kutowalipa pesa zao.

Wewe nani haupo hata history ya tanzania uwakopeshe hawa watu.

Tunaomba Waziri mlezi msaidie huyu baba kwa kulipa pesa zake.

ITV ameonekana mzee anatoa machozi wakakata. Karia mna hela za mikutano ya hovyo hamtaki lipa watu aibu sana
 
Watanzania tusishau kuwa Karia ni Msomali, machozi ya Mzee Filbert Bay hayawezi kumshtua!
 
Nilianza kusoma kabla sijasoma jina la mletamada.

Nikahamaki huyu sio PM wa jf kweli mh pdiddy!!!!
kumbe ni yeye.
 
Back
Top Bottom