Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 3,039
- 5,560
Kabla ya yote niseme tu mimi binafsi sina ushabiki wa usimba wala uyanga nimeamua kuandika ki michezo tu nikiwa mdau wa mchezo. Kwahiyo mm sio shabiki wa Yanga wala Simba.
Kitendo cha klabu ya Simba kuondoka nchini siku ya Jumatatu Mei 11, 2021 ni dhahiri kuwa hawa jamaa wanabebwa ama kupendelewa sana na TFF.
Klabu ya Simba iliondoka Mei 11, 2021 nchini kuelekea Afrika Kusini kwaajili ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Siku hiyo hiyo ilikuwa icheze mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Swali linakuja kwann Simba ilishindwa kucheza na Coastal Union kisha ndio ikaelekea Afrika Kusini?
Ikumbukwe kuwa Mchezo kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba SC utachezwa Mei 15, 2021. Kutoka Mei 11 mpka Mei 15 kuna siku 5 hapo, Simba ilishindwa nn kucheza mchezo na Coastal Union?
TFF wanaipendelea sana simba maana wao ndio waliruhusu huu mchezo wa ligi kuu Tanzania bara usichezwe kwa kisingizio kuwa simba inaifuata Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali. Hiyo ni hoja ya kipumbavu sana na isiyo na mashiko kabisa. Why Kaizer Chiefs Mei 12 alicheza mchezo wa ligi kuu Afrika Kusini, Simba alishindwa nn?
Simba alishindwa nn kucheza hiyo Mei 11 kisha Mei 12 akaelekea Afrika Kusini?
TFF mnatukosea sana sisi wadau wa michezo.