kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Tutofautishe kati ya uchawi, dawa na sumu, Uchawi unaadhili akili TU ya mtu (psychic) lakini dawa na sumu vinaathili mwili na akili (psycho-soma).
Kitu chochote kama vile maneno, paka, ndege, ungo, kikapu, hirizi, kibatali, kumwaga maji, kuzunguuka uwanja na vitendo vyote ambayo sio sehemu ya mchezo wa mpira kwenye mpira huwa vina lengo la kuathili akili mchezaji, kocha, uongozi na mashabiki wa timu pimzani huo ni uchawi. Dawa kubwa ya uchawi wa aina hii ni kuupuuza na kuugeuza kuwa sehemu ya mpira (vichekesho, burudani na utamaduni wa mpira wetu wa miguu). Timu lazima ziwe na watu (psychoanalytic) kwaajili ya kutatua shida za kichawi na nyingine zinazoathili akili za wachezaji kama misiba, kupoteza mechi, kukaa benchi, nk)
Madawa na sumu michezoni: hizi ni dawa zinazoongeza au kupunguza nguvu ya akili na misuli ya mchezaji wakati wa mechi. Hizi ni mbaya sana, TFF ndiyo inatakiwa kutumia nguvu zake zote kwenye aina hii ya uhalifu michezoni. Kama Kuna timu inayowapa wachezaji wake dawa zinazoongeza uwezo wao wa akili na misuli (nguvu) au kutumia dawa ya kunyong'onyeza akili na misuli ya timu pinzani lazima hatua kali (fine, kukatwa points, kichushwa daraja) zichukuliwe.
Timu inayoonekana ina nidhamu kwa TFF ni Ile timu ambayo itaingia vyumba vya kubadilisha jezi hata kama Kuna harufu kali ya dawa iliyopulizwa. Hii ni nidhamu ya kipuuzi michezoni.
Kuulingilia mlango usiorubusiwa ni ishara kuwa Kuna tatizo kwenye timu zetu, TFF na jamii yetu. Huwezi kutenganisha uchawi na mila na desturi za jamii, hata wazungu imani hizo wanazo, lakini dawa yake sio fine bali elimu.