TFF wanapanga matokeo dhidi ya Yanga

Joined
Jan 3, 2020
Posts
16
Reaction score
41
Silaha kubwa ya TFF katika kupanga matokeo ni Ratiba ya ligi ambao kanuni za mpira zinaheshimika Ratiba ya ligi haibadiliki na inakua FAIR kwa timu zote shiriki.

Yanga wanawafuata coastal J5 inalazimu kusafiri baada ya mechi ngumu dhidi ya simba iliyochezeshwa J'2 halafu ndani ya siku 3 pamoja na kusafiri, ubovu wa kiwanja cha Mkwakwani Yanga inakwenda Mkwakwani wakiwa wanaiwaza mechi ya belouizdad fc kwa hiyo wanaiendea mechi ya Coastal Union kwa tahadhari nyingi, simba wapo Dar dhidi ya Namungo Fc (Mjukuu wao) mechi isiyotegemewa kuwasumbua simba kwa ukaribu walionao na Namungo

Yanga wanakutana na wapinzani wao wengine wa ki historia Coastal Union ambao hawaja safiri na mara ya mwisho kucheza ilikua tarehe 01/11/2023 na mechi zao 3 mfululizo wamecheza nyumbani hawajatoka ndio wanakutana na Yanga iliyotoka kucheza na simba tar 05/11/2023

Yaani TFF wamehakikisha Yanga inakutana na Coastal iliozoea uwanja bila uchovu wa kusafiri mechi 2 kuindea mechi na Yanga.

HALAFU USEME TFF HAIPANGI MATOKEO Kwa ambao hawajawahi kuongoza timu za Premier League hayajui haya

TFF ya Karia ni Maharamia wa mpira wa Tanzania dhamira yao kubeba timu moja Tanzania ndio azma yao kuu
 
Ratiba hii ilipangwa ili Yanga akung'utwe kisawasawa ili adondoshe point kusudi Kipenzi Chao Makolo awe Bingwa Msimu huu!

Kwakuwa Mungu si Selee wee seleee a.k.a GENTAMYCINE!

Timu zote zilizopangwa ili ziifunge Yanga zimejikuta zikipokea Vipigo Vizito hadi Tifua Tifua wamebaki kusonya tu kama wehu!
 
Alafu arajiga awe mchezeshaji wa mechi za Simba daily
 
Na wenyewe tutaenda kuwapigia huko huko Mkwakwani. Na uzuri tunatambua fika hao Coastal ni Simba B.
 
Huu ni upumbavu,unaogopa Coastal ?Timu mnayoidhamini wenyewe?
Namungo timu mnayoidhamini wenyewe leo unaiitaje?

Mnaogopa kwa sababu mlishinda kichawi?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Timu la dunia linaloweza kufunga hadi 'Reale Madiiridiii' linalia lia kuelekea Mkwakwani. Seriously?
 
Nbc pl timu ngumu zinajulikana,kabla ya kukutana na makolo Yanga iliandaliwa ipoteze point kwa azam na singida then ikikutana na makolo wapoteze,wakitoka hapo wanaenda mkwakwani uwanja ambao uwa ni mgumu kwao,hii ilipangwa kimkakati ili hadi sec round itakapoanza Yanga awe amepitwa kwa gape kubwa za pointi na makolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…