Uhuni umeanza kwa kuingia mkataba na GSM bila kuridhiana na Simba.Na lengo ikiwa ni agenda ya utopolo kupewa ubingwa wa mchongo
Leo viongozi wa Simba wamezuiwa kihuni tu kuingia uwanjani.
Waamuzi wamekuwa na maamuzi ya kihuni tu.
Mfano leo,mwamuzi anaua move ya Morrison na Kapombe kihuni tu kisa,alidhani...kwamba alidhani...Morrison kaushika mpira.Jambo la ajabu kabisa maana kosa kama hilo likitendeka wachezaji wa timu pinzani wangekuwa wa kwanza kunyoisha mikono kuomba mwamuzi apulize kipenga.
Pia goli limefungwa linahesabiwa ni offside...ulikuwa ni uhuni tu ili kuwapa sare timu ya mchongo.
Ninatabiri iwapo TFF wataendelea na agenda yao ovu ya kumbeba GSM,ili timu yake ichukue ubingwa wa mchongo, watu wengi wataachana na hii soka ya kibongo