TFF wanataka kuharibu soka kwa sababu ya mlungula wa GSM

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Uhuni umeanza kwa kuingia mkataba na GSM bila kuridhiana na Simba.Na lengo ikiwa ni agenda ya utopolo kupewa ubingwa wa mchongo

Leo viongozi wa Simba wamezuiwa kihuni tu kuingia uwanjani.

Waamuzi wamekuwa na maamuzi ya kihuni tu.
Mfano leo,mwamuzi anaua move ya Morrison na Kapombe kihuni tu kisa,alidhani...kwamba alidhani...Morrison kaushika mpira.Jambo la ajabu kabisa maana kosa kama hilo likitendeka wachezaji wa timu pinzani wangekuwa wa kwanza kunyoisha mikono kuomba mwamuzi apulize kipenga.

Pia goli limefungwa linahesabiwa ni offside...ulikuwa ni uhuni tu ili kuwapa sare timu ya mchongo.

Ninatabiri iwapo TFF wataendelea na agenda yao ovu ya kumbeba GSM,ili timu yake ichukue ubingwa wa mchongo, watu wengi wataachana na hii soka ya kibongo
 
Ona pumbavu lingine hili.

 
Offside ipi ile aliyopiga chokoraa kutoka kwenye kona huku mchezaji akiwa anatibiwa? Au attempt ya boko?
 
Ball possession: Yanga 53, Makolo 47. Chini ya kiwango.
 
TFF wapumbavu sana wanaleta bifu za kijinga, kisa tu wameangukia pua suala la Magodoro.
Kwa hiyo na wewe unakubari kuwa Leo lilikuwepp goli la offside upande wa Simba?
 
Kwa hiyo na wewe unakubari kuwa Leo lilikuwepp goli la offside upande wa Simba?
Wapi nimetaja au kuzungumza hapa goli la Offside? Mbona kuna paragraph imesema kuhusu viongozi wa Simba SC, yaani CEO na Magori kuzuiwa kuingia Uwanjani, Wewe umeona jambo dogo ambalo hawapaswi TFF na Bodi ya Ligi kuonekana wajinga kuliko hiyo Offside?

Jitahidi kusoma mada kwa umakini.
 
Mwambieni kanjibai awajengee uwanja........wenu pale burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…