Huyo jamaa ni zero kabisaManara amezoea kubwabwaja ndio tatizo!
UmenikumbushaNo White or Red
Nenda kibanda umiza
Jifanye jeuri uje kwa Mkapa kiboyaboya TUTAKUGAWANA mle ndani.
Neither - norUmenikumbusha
Either-or
Neither-no
Kwani ni tatizo wakifanya hilo?Tatizo mashabiki wa Yanga hawana akili, mechi ya kimataifa hii lakini wao wataingia kuishangilia Plateau.
hatuwezi kuruhusu v.ichaa watupake vinyesiKwani ni tatizo wakifanya hilo?
kwa hiyo mashabiki wa Simba wasio na kadi hawataingia uwanjani? Haji usituharibie mpira wetuKama hauna kadi ya Simba baki nyumbani tu
Kwa kweli wapo baadhi narudia baadhi ya wanasimba ni wajinga na wapumbavu pamoja na pia uncivilized...yaani utazuiaje mashabiki wengine wasiingie uwanjani eti kwa kuwa wanaizomea Simba?! Kuzomea na kushangilia ni sehemu ya soka...Utopolo mwandamizi akililia kuwaona Simba
Huyo jamaa Ni mshamba sijui wa upoloto? Anaweka moira ni uaduiKwa kweli wapo baadhi narudia baadhi ya wanasimba ni wajinga na wapumbavu pamoja na pia uncivilized...yaani utazuiaje mashabiki wengine wasiingie uwanjani eti kwa kuwa wanaizomea Simba?! Kuzomea na kushangilia ni sehemu ya soka...
Akili ndogo Sana katika hoja hii...hata Yanga wanaweza kuwa mashabiki wa plateau labda useme wanachama wa plateau..Mashabiki wa Simba na Plateau ndio wanahitajika uwanjani. Acheni vurugu subirieni na nyie mkifuzu mtaingia kushangilia
Yaani huyo mseamaji wao was mikia ameharibu soka ya Tanzania ..TFF wamemdekeza mno...Mbumbumbu SC wanapotezwa sana na uchizi wa afisa habari wao.
Jana walibwabwaja sana hadi Kaduguda akatamka rangi ya kijani itawale[emoji849]
Nikasema ndio viongozi wetu hawa.
Manara naye ndo ivo tena
Kama hawakujiandaa na ile meeting!
Wajinga ni nyie Simba badala mpambane na nyie mfuzu kama Simba mnabakia kung'ang'ania kwenda kuwashangilia mabwana zenu PlateauAkili ndogo Sana katika hoja hii...hata Yanga wanaweza kuwa mashabiki wa plateau labda useme wanachama wa plateau..
Yaani watu wengine humu ni wajinga Sana..
hawa jamaa wa.jinga kwelikweliUtopolo bana!!! Sasa mnalazimisha...
Wanapenda utani lakini hawauwezi , hii ishu wamei personalize sana , wakati sokaKwa kweli wapo baadhi narudia baadhi ya wanasimba ni wajinga na wapumbavu pamoja na pia uncivilized...yaani utazuiaje mashabiki wengine wasiingie uwanjani eti kwa kuwa wanaizomea Simba?! Kuzomea na kushangilia ni sehemu ya soka...