TFF wapinga vitendo vya ubaguzi kwa mashabiki wa mpira wa miguu

Hao wafungiwe hata mwaka KUCHEZA bila mashabiki
 
Wajinga ni nyie Simba badala mpambane na nyie mfuzu kama Simba mnabakia kung'ang'ania kwenda kuwashangilia mabwana zenu Plateau
Duh...aisee..umechanganyikiwa...
 
TFF mbona hamjakemea mishabiki ya utopolo ilivyokuwa inamrushia makopo mshika kibendera kwenye mechi dhidi ya Azam?
Mashabiki wa utopolo wengi sio wastaarabu
Achana na tff mkuu kichaka cha wahuni hicho na bado kuna ishu ya pesa za rushwa inakuja ...FIFA wanawazoom tu kwa mbali, Leo hii ndio wanajifanya kujua ubaguzi mavih yao..tusiwape umaarufu hao
 
Afadhali umewakumbusha ..tatizo watu wanasahau vichwa vyao wamejaza mavi tu ..acha dawa iwaingie ..manara akiongea wanakuja kulialia kwenye vyombo vya habari kama Leo wamelia kweli akumbuka mechi ya Yanga na Mazembe ambayo Manji alilipia uwanja mzima mashabiki wa Yanga waingie bure.Mashabiki wa Simba walijazana kibao na kushangilia wakaishangilia Mazembe.Hii hali wasiikasirikie kwani wameianzisha wenyewe wawe wapole.
Imrumewa
 
Tanzania Football Failure Leo ndo wame.prove wana muogopa Haji, wanamjua kwenye barua yao hawajamtaja hali ya kuwa wanajua ndo aliesema.. wonderful enough sielewi kwanini wanamuogopa or the Man is so powerful kwenye industry ya football ya TZ?
 
Tanzania Football Failure Leo ndo wame.prove wana muogopa Haji, wanamjua kwenye barua yao hawajamtaja hali ya kuwa wanajua ndo aliesema.. wonderful enough sielewi kwanini wanamuogopa or the Man is so powerful kwenye industry ya football ya TZ?
Issue hapa sio kuogopana,
Issue ni kwa nini Simba kama kampuni inakubali kuvuliwa nguo na manara namma hii?
 
Wewe msengeh naona bado mapumbu yanakuwasha ngoja tuje wanaume tuje tukukune mana naona simba imekukaa kwenye moyo kama mumeo
We KUNDUch mapumbu yananiwasha ndiyo, njoo uyanyonye then nikuchape mkia
 
Kwa kweli wapo baadhi narudia baadhi ya wanasimba ni wajinga na wapumbavu pamoja na pia uncivilized...yaani utazuiaje mashabiki wengine wasiingie uwanjani eti kwa kuwa wanaizomea Simba?! Kuzomea na kushangilia ni sehemu ya soka...
Msijisahaulishe...hivi karibuni mmekua mkipiga mashabiki wa Simba kwenye mechi zenu na hiyo ndo sababu...kama kuzomea na kushangilia mmefanya kwenye mechi yenu dhidi yetu na tumewapiga nne...mmeshangilia Nkana, Al ahly ,As vita,Js soura na tumeshinda...Simba hajawahi ogopa kelele za Chura tena wa Jangwani...ila kuweni wastaarabu...juzi tu mechi ya Azam mnarusha makopo...TFF inashindwa kuwawajibisha sababu za kisiasa ila tumewaonyesha kwamba hatuwataki kama mnalazimisha lazimisheni...pia mjirekebishe.
 
Manara alisema wazi kabisa kwamba tarehe 5 ni jersey nyeupe na nyekundu tu hao utopolo 🐸🐸🐸wakitaka kuishabikia plateu United waende vibanda umiza wakashangilie huko Kwa kuimba
Utopoloo🐸🐸🐸 utopoloo 🐸🐸🐸🐸 utopoloooo🐸🐸🐸🐸🐸 ila taifa tunataka 🦁🦁🦁🦁🦁🦁
 
Pelekeni hiyo mechi kwenye ule uwanja wa mudy, Mkapa stadium ni wa wananchi na kila mwananchi anaruhusiwa kuingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…