TFF watakiwa kulipa viti uwanja wa taifa

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
Serikali yaitaka TFF kulipa gharama za jumla ya shilingi milioni tano kwa kuvunjika kwa viti 152 kwenye uwanja wa taifa siku ya mchezo wa SIMBA na KIYOVU
source:JF
hutaki acha
 
Bongo bongo mnatia aibuuu,mnaharibu hata viti vya mchina

ki ukweli hii nchi inahitaji maombezi ya khali ya juu,haiingii akilini kwa mru kung'oa kiti ambacho kesho na keshokutwa atakuja tena kuvikalia na kuangalia mechi nyingine.

Tuna watu wa ajabu sana jamani na hili si la kulichekea,hivi ktk kiwanja kile hakuna camera?

wabongo ukiwachekea bwana matokeo yake ndiyo hayo
 
siku akienda uwanjani na kusimama dakiak 90 atailaumu serikali hadi mimate imtoke
 
ndo manake hii vita ilitokana na mashabiki wapumbav wa *simba kutaka kujichanganya na mashabk wa yanga jukwaa moja kitu ambacho hakiwezekani popte dunian tim pinzani kukaa pamoja.uliona wapi manchesta na asenal wakiwa wamejichanganya jukwaa moja?*:smash:***😛oa
 
Back
Top Bottom