Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Serikali yaitaka TFF kulipa gharama za jumla ya shilingi milioni tano kwa kuvunjika kwa viti 152 kwenye uwanja wa taifa siku ya mchezo wa SIMBA na KIYOVU
source:JF
hutaki acha
siku akienda uwanjani na kusimama dakiak 90 atailaumu serikali hadi mimate imtokeBongo bongo mnatia aibuuu,mnaharibu hata viti vya mchina
ki ukweli hii nchi inahitaji maombezi ya khali ya juu,haiingii akilini kwa mru kung'oa kiti ambacho kesho na keshokutwa atakuja tena kuvikalia na kuangalia mechi nyingine.
Tuna watu wa ajabu sana jamani na hili si la kulichekea,hivi ktk kiwanja kile hakuna camera?
wabongo ukiwachekea bwana matokeo yake ndiyo hayo