TFF wekeni viingilio vya chini tujaze uwanja mechi ya stars

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
372
Habari zenu jamani, najua wahusika wapo hapa jukwaani tubaomba sana Uongozi muweke kiingilio cha bei ya chini ili wananchi tuujaze uwanja ktk kushangilia mechi ya Taifa Stars Vs Uganda ipo nguvu kubwa sana ktk sauti nw kelele za mashabiki. Kama mtaweza muweke hata 2,000/= mzunguko hakika tutajaa saaana na mganda atashangaa sana
Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah. Hata wakiweka 1000 sijui kama uwanja utajaa. Watu tunawaza tutaingiaje mechi ya simba vs TP mazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu jamani, najua wahusika wapo hapa jukwaani tubaomba sana Uongozi muweke kiingilio cha bei ya chini ili wananchi tuujaze uwanja ktk kushangilia mechi ya Taifa Stars Vs Uganda ipo nguvu kubwa sana ktk sauti nw kelele za mashabiki. Kama mtaweza muweke hata 2,000/= mzunguko hakika tutajaa saaana na mganda atashangaa sana
Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Waganda mtuwekee kiingilio chetu tofauti hata kiwe 70,000/= tunakuja kuchukua point zetu hapo Kwa mchina, na nyie watz ingizweni hata bure!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom