Hii mechi ilitakiwa iwe bure maana ni mechi ya kihistoria.
Au kiingilio kiwe 100. 100×60000=6,000,000.
Milioni 6 inawatosha.
Wakina nani?We unapiga hesabu za million wenzio wapiga hesabu za billion
Wakina nani?
Hahah. Hata wakiweka 1000 sijui kama uwanja utajaa. Watu tunawaza tutaingiaje mechi ya simba vs TP mazembeHabari zenu jamani, najua wahusika wapo hapa jukwaani tubaomba sana Uongozi muweke kiingilio cha bei ya chini ili wananchi tuujaze uwanja ktk kushangilia mechi ya Taifa Stars Vs Uganda ipo nguvu kubwa sana ktk sauti nw kelele za mashabiki. Kama mtaweza muweke hata 2,000/= mzunguko hakika tutajaa saaana na mganda atashangaa sana
Naomba kuwasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Waganda mtuwekee kiingilio chetu tofauti hata kiwe 70,000/= tunakuja kuchukua point zetu hapo Kwa mchina, na nyie watz ingizweni hata bure!Habari zenu jamani, najua wahusika wapo hapa jukwaani tubaomba sana Uongozi muweke kiingilio cha bei ya chini ili wananchi tuujaze uwanja ktk kushangilia mechi ya Taifa Stars Vs Uganda ipo nguvu kubwa sana ktk sauti nw kelele za mashabiki. Kama mtaweza muweke hata 2,000/= mzunguko hakika tutajaa saaana na mganda atashangaa sana
Naomba kuwasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app