TFF ya kanusha kuahirishwa kwa Dabi ya Kariakoo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
TFF imekanusha taarifa iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ya kuahirishwa kwa mchezo kati ya Yanga na Simba June 15 katika uwanja wa Benjamini Mkapa.
 
Waanze kuuza tiketi maana nao watatengeneza kikundi magumashi kitanunua tiketi wakati wamepewa bure bila kugawa tiket bure uwanja utakua tupu ukijaa watu 9.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…