mchezaji mwenyewe kafungiwa kwa kutumia mihadaratiKwa mujibu TFF inayoongozwa na ma-nazi wa simba, kupitia afisa habari wake Clifford Ndimbo imeeleza kuwa Mohamed Isa Banka ni mchezaji halali kabisa wa Mtibwa Sugar, kwani Yanga walishindwa kukamilisha taratibu za usajili wake. Kumbu kumbu zinaonyesha kuwa TFF hiyo hiyo ndiyo iliyompitisha Mohamed Banka kuichezea yanga kwa msimu huu wa 2018/2019, na ligi ikiwa inakaribia kufikia katikati ya msimu wa2018/2019 TFF hiyo hiyo inakuja na maamuzi mengine
Nawasilisha!
Tifutifu yote ni myama/mikia FC.Kwa mujibu TFF inayoongozwa na ma-nazi wa simba, kupitia afisa habari wake Clifford Ndimbo imeeleza kuwa Mohamed Isa Banka ni mchezaji halali kabisa wa Mtibwa Sugar, kwani Yanga walishindwa kukamilisha taratibu za usajili wake. Kumbu kumbu zinaonyesha kuwa TFF hiyo hiyo ndiyo iliyompitisha Mohamed Banka kuichezea yanga kwa msimu huu wa 2018/2019, na ligi ikiwa inakaribia kufikia katikati ya msimu wa2018/2019 TFF hiyo hiyo inakuja na maamuzi mengine
Nawasilisha!
Tz si geni hilo.Mvuta bangi anatetewa.Maajabu.
Huyu ni mwingine hata miaka 25 hajafikisha! Anatumia Banka kama a.k.a yake!Hivi huyu Banka hajafikisha miaka 40? Au ni mwingine siyo yule ninayemfahamu mimi? Hakika hili ndiyo soka la bongo.