TFF yahakikisha Yanga nayo kwa nafasi yake inachukua Kombe hili Mwaka huu

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
TFF Imeandaa mashindano ya Kunywa Uji wakati huu wa Ramadhani na Yanga inaonekana Ina uwezo Mkubwa wa kuchukua KOMBE LA UJI MWAKA HUU kutokana na Usajili wake na Ufundishwaji chini ya Super Couch (not Coach ) Mwinyi Zahra. Simba wakiwa na Coach wao Patrick Eussems hawakufanikiwa kupata nafasi ya Kushiriki.

Yanga Kombe watakalochukua Mwaka huu ni Kombe la Uji au Kombe la Kwendea Chooni.
 
Ngoja tuone hivyo vizee vyenu mnavyojivuna navyo kama vitaweza kupambana tena msimu ujao au vitaelemewa tu na fatique.
 

Usihw ukasahau Yanga ni Bingwa mara 27 na Mikia mara 20.
Hizo saba kunyweni huo uji mfidie.
 
Mla mla leo mla jana kala nini? Anayeshangilia harusi ni yule anayeoa leo wewe uje na umbute mbute wako useme unashangilia harusi ya mwaka juzi leo...bado una hang over.
Mwaka huu mtapata kombe la Uji tu au la Kopo la Kwendea Chooni ...Vyura nyie. Wa kuwabeba malinzi anajibeba mwenyewe...

Usihw ukasahau Yanga ni Bingwa mara 27 na Mikia mara 20.
Hizo saba kunyweni huo uji mfidie.
 
Sa Sawa mkuu wa wapumbavu. Na wewe Leo umejitahidi kuweka thread inayooakisi level ya upumbavu wako, Hongera.
 
Ingependeza zaidi wakati unaongea hiyo mipasho yako ungevaa Dera huku ukisindikizwa na Kigoma cha Kiuruguai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…