Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 938
Kanjubai anataka 10 kinyume na hapo hatoi mpunga, na anajua ndani ya miaka 10 amerudisha pesa yake na faida kibao, Hakuna muhindi fala
Pita na hapa mkuu labda utapata some insightsNADHANI NI WAKATI MUAFAKA KABISA KUFIKIRIA NAMNA YA KUIKODISHA TFF KWANI KWA KUFANYA HIVYO PENGINE ITAONDOA FIGISUFIGISU, UBABE, UPENDELEO ETC ETC
Pita na hapa mkuu labda utapata some insightshahahaa mliokula pesa za manji utakunya pili pili
Pita na hapa mkuu labda utapata some insightsManji ashamwaga pesa kwa wanachama wote vidomodomo wapo kimyaaa,sijasikia wakiupinga huo mkataba WA ukodishaji ambao Una dariri zote wa kufanana na mkataba WA chief Mangungo wa Msovelo.
Pita na hapa mkuu labda utapata some insightsTaarifa za Yanga kuingia mkataba wa kuikodisha timu kwa miaka kumi kwa Kampuni ya Yanga Yetu zimezidi kuchukua sura mpya ambapo licha ya baadhi ya wanachama wa klabu hiyo kupinga utaratibu uliotumika, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) nalo limefunguka kuhusu jambo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa amezungumza kuhusu mabadiliko ambayo wameyafanya na kusema wao kama TFF bado hawajayatambua mabadiliko hayo na wamemwandikia barua Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit ya kumtaka aonyesha mkataba ambao wameingia na kampuni ya Yanga Yetu.
“Nimemuandika barua Katibu Mkuu wa Yanga atupe nakala ya mkataba ule (wa Yanga na Kampuni ya Yanga Yetu), ili kama kuna wasiwasi hilo tatizo lishughulikiwe mapema maana hizi klabu niza wanachama, wanaweza kuingia mikataba na wanachama wengine wakaja na mambo mengine,
“Tunataka mkataba uwe wazi ili hata klabu zingine zijifunze, kwahiyo Yanga tumewaomba walete copy ya huo mkataba nini kinaazimwa na kipi kinauzwa, klabu itaendeshwaje na baada ya hapo kamati za TFF zitakaa kulijadili jambo hilo, kama itakuwa tofauti na kanuni zetu tutarudi kwao warekebishe mambo ambayo hayapo sawa,” alisema Mwesigwa na kuongeza.
“Uendeshwaji lazima ubadilike kuendana na wakati lakini hatutaki mabadiliko yasababishe mvurugano ambao haukuwepo kwa muda mrefu na tumeshapokea barua nyingi za wanachama wa Yanga hadi wazee wamekuja wanasema wanataka kwenda kumwona mkuu wa nchi”
Aidha alisema TFF bado inatambua Yanga inasimamiwa na uongozi wa klabu kama ilivyokuwa awali ikiongozwa na Mwenyekiti, Yusuph Manji na kama kutakuwa na jambo la tofauti watatoa taarifa baada ya kujiridhisha mfumo ambao Yanga itakuwa inautumia kukodisha timu kwa Kampuni ya Yanga Yetu.
Chanzo: Dewji Blog
Yanga mwenzangu hebu nikuulize, hii nembo ambayo Manji anataka kuichukua kwa miaka 10 tunasema Mingi, Nembo hii hii Yanga wanayo inakaribia Miaka 80 sasa, hatujaona lolote.
Ipi miaka mingi kati ya 10 aliyoomba Manji ambayo hatujajua anataka kuifanyia nini Yanga, na Miaka karibu 70 na ushee ambayo akina mzee Akilimali walikuwa na hiyo nembo kwa muda wote huo bila ya kufanya chochote?
Maoni yangu yalikuwa kwamba hao TFF hawaweki mikataba yao wazi lakini hao hao wanataka yanga waweke yao wazi.Pita na hapa mkuu labda utapata some insights
https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-yetu-yatoa-tamko-juu-ya-uwanja.1130157
Haaaaa sasa mkataba wanaoingia nao Yanga na Yanga yetu una manufaa gani kwa Yanga kama mali zitakazopatikana zitakuwa mali za Yanga Yetu?halafu kilicho nishangaza kwenye ule mkataba ni kipengele kinacho sema baada ya kumalizika mkataba mali zilizo patikana chini ya yanga yetu company zitabaki kuwa za mkodishaji,,,,,kimsingi Yanga hawatonufaika nachochote kwenye huu makataba na kama akijenga uwanja na mkataba ukaisha basi uwanja utabaki wa Manji......
wafanya biashara ni wajanja lakini yanga wamenishangaza kukubali terms za namna hii soma namba 15 ndipo palipo nishangaza zaidi.... ina maana kama akijenga uwanja utabaki ni wa kwake na atakacho rudisha ni timu na nembo ndivyo alivyo kodishwaMkuu tuweke mapenzi yetu kwa Yanga pembeni.
Kwa jicho la kibiashara kuna tatizo mahali,tusubiri kuona hiyo nakala ya mkataba ikoje.
Halafu miaka 10 ni mingi sana.
Tungefanya japo miwili kisha tukijiridhisha na hao Yanga Yetu tuongeze mkataba.
Mbona huyu anayechukua hisa za 51% hamzungumzi hisa moja ni kiasi gani kwa fedha za sasa.Mkuu tuweke mapenzi yetu kwa Yanga pembeni.
Kwa jicho la kibiashara kuna tatizo mahali,tusubiri kuona hiyo nakala ya mkataba ikoje.
Halafu miaka 10 ni mingi sana.
Tungefanya japo miwili kisha tukijiridhisha na hao Yanga Yetu tuongeze mkataba.
[emoji15] [emoji15]Mkuu tuweke mapenzi yetu kwa Yanga pembeni.
Kwa jicho la kibiashara kuna tatizo mahali,tusubiri kuona hiyo nakala ya mkataba ikoje.
Halafu miaka 10 ni mingi sana.
Tungefanya japo miwili kisha tukijiridhisha na hao Yanga Yetu tuongeze mkataba.
Chanzo cha habari Mohammed dewjiTaarifa za Yanga kuingia mkataba wa kuikodisha timu kwa miaka kumi kwa Kampuni ya Yanga Yetu zimezidi kuchukua sura mpya ambapo licha ya baadhi ya wanachama wa klabu hiyo kupinga utaratibu uliotumika, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) nalo limefunguka kuhusu jambo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa amezungumza kuhusu mabadiliko ambayo wameyafanya na kusema wao kama TFF bado hawajayatambua mabadiliko hayo na wamemwandikia barua Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit ya kumtaka aonyesha mkataba ambao wameingia na kampuni ya Yanga Yetu.
“Nimemuandika barua Katibu Mkuu wa Yanga atupe nakala ya mkataba ule (wa Yanga na Kampuni ya Yanga Yetu), ili kama kuna wasiwasi hilo tatizo lishughulikiwe mapema maana hizi klabu niza wanachama, wanaweza kuingia mikataba na wanachama wengine wakaja na mambo mengine,
“Tunataka mkataba uwe wazi ili hata klabu zingine zijifunze, kwahiyo Yanga tumewaomba walete copy ya huo mkataba nini kinaazimwa na kipi kinauzwa, klabu itaendeshwaje na baada ya hapo kamati za TFF zitakaa kulijadili jambo hilo, kama itakuwa tofauti na kanuni zetu tutarudi kwao warekebishe mambo ambayo hayapo sawa,” alisema Mwesigwa na kuongeza.
“Uendeshwaji lazima ubadilike kuendana na wakati lakini hatutaki mabadiliko yasababishe mvurugano ambao haukuwepo kwa muda mrefu na tumeshapokea barua nyingi za wanachama wa Yanga hadi wazee wamekuja wanasema wanataka kwenda kumwona mkuu wa nchi”
Aidha alisema TFF bado inatambua Yanga inasimamiwa na uongozi wa klabu kama ilivyokuwa awali ikiongozwa na Mwenyekiti, Yusuph Manji na kama kutakuwa na jambo la tofauti watatoa taarifa baada ya kujiridhisha mfumo ambao Yanga itakuwa inautumia kukodisha timu kwa Kampuni ya Yanga Yetu.
Chanzo: Dewji Blog
Vipi?Mbona mshangao?[emoji15] [emoji15]
Mkuu tuweke mapenzi yetu kwa Yanga pembeni.
Kwa jicho la kibiashara kuna tatizo mahali,tusubiri kuona hiyo nakala ya mkataba ikoje.
Halafu miaka 10 ni mingi sana.
Tungefanya japo miwili kisha tukijiridhisha na hao Yanga Yetu tuongeze mkataba.
mishahara ya wachezaji...usajili unajua pesa zilikuwa zinatoka wapi kaa kimyaSasa kumbe na wewe ndio wale wale tu!!yaani unasema hatujajua anataka kufanya nini??ndio maana watu wanataka kuondoa hiyo dhania,kila kitu kiwe wazi kwenye mkataba,ushabiki ndio unawaponza,mtu anaibuka na kusema eti yanga inadeni la bilioni 11!!huku yeye ndie alikuwa kila kitu hakuna ripoti za mapato na matumizi kujulikana,
Umiliki mali nusu umechangia nini kupatikana hizo mali....Sasa hivi Yanga ina deni hakuna mwanachama yoyote anaejali halafu mnaulizia mali.? Mali zipi wakati klabu inaendeshwa kwa hasara? Faida itakayopatikana chini ya Yanga Yetu ni faida ya Yanga Yetu...Na hasara itakayopatikana ni yao? Kama mnataka kugawana mali nusu kwa nusu anzeni kwanza kulipa madeni Yanga inayodaiwa sasa hHaaaaa sasa mkataba wanaoingia nao Yanga na Yanga yetu una manufaa gani kwa Yanga kama mali zitakazopatikana zitakuwa mali za Yanga Yetu?
Yani tunaingia mkataba kuwanufaisha hao Yanga Yetu?
Si bora wangesema mali zitakazopatikana tutagawana/kumiliki nusu kwa nusu?
Kama ni uwanja umiliki uwe 50/50...mapato yatakayopatikana tutagawana nusu kwa nusu.