mkuu wewe unastahili kuwa katika uongozi wa simba sc angalau watajua kweli na haki ya sokaShukran Mkuu na tupo pamoja. Haji Manara sasa anaboa na anaharibu tumemchoka kwakweli.
manara angekuwa mwekundu SanaJuzi kati hapa, nilikuwa naangalia mechi moja ya La Liga, Bacca walishinda 4 au 5, lakini ndani ya dk 30 za mwanzo walikuwa wamebanwa! Matokeo yakiwa 0-0 Messi akiwa ndani ya 18 akapewa cross ambayo mpira ulikuwa ushatoka dhahiri, hata mpigaji aliona umetoka, na timu pinzani yote walishanyoosha mikono na kuanza kuondoka wakijua goalkick! Mchazaji mmoja akafanya kama anausukuma kwa kipa ili auchukue aweke goalkick, mpira ukatinga nyavuni! Bacca wala Messi hawakushangilia Goal, wale jamaa sijui Alaves wale, wakamvaa lineman, lakini wapi! Natamani Manara awe msemaji wa ile timu!
Binafsi ulichosema mm mwenye akili timamu nimekielewa,msemaji wa klabu asemi maneno yake kutoka mfukon bali maneno anayosema ni kwa ajili ya klabu so apa asisweme manara isemwe simba sport club kama kunaonekana kuna kosa.Adhabu mnayoijua ijua ni kufungia tu??
Huwezi kuwa shabiki wa simba wewe. Kuhusu refa unasema ni binadamu anaweza kukosea, je Manara ye ni Simba mnyama au ? Ukija hapa kutoa mawazo onyesha mawazo ya kujenga na acha uchonganishi wa hizo pande mbili. Haya aliyekupa usemaji wetu wana simba ni nani?? Eti sisi tumeridhika tunajipanga na mechi mbili .....! Labda wewe na familia yako
Ukae ukijua Manara haitishi press conference bila idhini ya uongozi wa klabu
Wapuuzi wote humu mna mshambulia Manara kama yeye binafsi, si sawa. Yupo kazini akiongea anawakilisha klabu na si mawazo yake binafsi.
Kama mna chuki binafsi naye mumtafute kwny pages zake za social media na si kwenye taarifa za klabu zenye idhini na baraka zote za klabu.
Jipange !!!
Ndo umeongea nn?Juzi kati hapa, nilikuwa naangalia mechi moja ya La Liga, Bacca walishinda 4 au 5, lakini ndani ya dk 30 za mwanzo walikuwa wamebanwa! Matokeo yakiwa 0-0 Messi akiwa ndani ya 18 akapewa cross ambayo mpira ulikuwa ushatoka dhahiri, hata mpigaji aliona umetoka, na timu pinzani yote walishanyoosha mikono na kuanza kuondoka wakijua goalkick! Mchazaji mmoja akafanya kama anausukuma kwa kipa ili auchukue aweke goalkick, mpira ukatinga nyavuni! Bacca wala Messi hawakushangilia Goal, wale jamaa sijui Alaves wale, wakamvaa lineman, lakini wapi! Natamani Manara awe msemaji wa ile timu!
Mkuu uko sahihi kabisa. Kwa kapindi tulichonacho sasa ni muhimu kuendana na wakati na kuwa na Wasemaji wa Klabu wenye ubunifu na Weledi mkubwa. Maana wenzetu kwenye Dunia ya Kwanza na ya pili wanakimbia hivyo ili kuendana nao kiasi fulani yatupasa tujiongeze kwa kuwa wabunifu mara dufu.Safari hii TFF wakimfungia Msemaji wa Simba SC Haji Manara nitawapongeza tena sana tu kwani japo Mimi ni mwana Simba SC tena ' Kindakindaki ' sijapendezwa na maneno yasiyo ya Kiuanamichezo ambayo Manara ameyaongea jana mbele ya Press pale Klabuni.
Madai yote aliyoyasema jana hayana nafasi wala tija hasa katika Soka la ' Ushindani ' kama la sasa. Labda Haji Manara amesahau kwamba hayo madai yake dhidi ya Mwamuzi kuna muda ndiyo yanafanya mchezo wa mpira uwe na raha kwani yanasaidia kuleta ' ubishani ' wa Kiuanamichezo kitu ambacho ni ' afya ' pia kwa mchezo wenyewe.
Nina mengi ya kusema na kumsema Msemaji wangu Haji Manara ila itoshe tu kusema kwamba kama ' Watani ' zetu Yanga SC waliona mbali na kumuondoa Msemaji wao ' Mswahili ' Jerry Muro na kumleta Msemaji mstaarabu, makini, mweledi na mtulivu Dismas Ten nadhani ni wakati sahihi pia kwa Klabu ya Simba upesi sana kuachana na Haji Manara kwani amezidisha sasa ' uhuni ' na ' uswahili ' wake.
Referee nae ni ' Binadamu ' hivyo kuna makosa ya ' Kibinadamu ' ambayo ukiwa tu muungwana na mwanamichezo wala hayakupi taabu / shida kuyajua na unayavumilia maisha yanaenda. Kama kuna ' Referee ' ambaye Tanzania kwa sasa tumepata na tunatakiwa kumtia moyo, kumuamini na kumpa uzoefu zaidi basi ni huyu Heri Sasii aliyechezesha huo ' mtanange ' wa Simba na Yanga.
Mwisho nimtake tu Haji Manara awe mstaarabu na makini kama hizo ' Suti ' ambazo huwa anazivaa siku hizi vinginevyo atakuwa anazilalilisha tu hizo ' Nguo ' ambazo kiukweli Mtu yoyote akiwa anazivaa iwe isiwe lazima tu ataonekana yupo vizuri Kichwani na hana ' Uhuni ' na ' Uswahili '.
TFF na Kamati ya Maadili yenu Mimi GENTAMYCINE nitawaunga mkono kwa 100% juu hatua zozote zile za Kinidhamu mtakazozichukua kwa Msemaji wangu wa Simba SC Haji Manara ili liwe fundisho kwa ' Wapuuzi ' wengine. Wewe ligi ndiyo Kwanza bado iko ' mbichi ' hivi unaanza ' kulialia ' hivi mzunguko wa pili si ndiyo unaweza kuitisha kabisa Press na ' ukawanyea ' Waandishi Mkutanoni kabisa kwa ' Kihoro ' chako?
Huwa najizuia sana kumsema / kumnanga / kumchamba Haji Manara Msemaji wangu wa Simba SC ila kwa hili wala simbakishi na simwonei haya / aibu na namwambia ' mubashara ' kabisa kwamba Wana Simba SC makini kama Sisi tumeridhika na mechi yetu na Yanga SC na sasa tunajipanga kwa mechi zetu mbili za Nyanda za Juu Kusini ya Mbeya City na Prisons hivyo atuondolee huo ' upuuzi ' wake.
Amenikera sana huyu Jamaa na nimemchoka mno.
Wampeleke jikoni kukuna nazi mkuu!Manara tumsamehe bure wandugu. ni inferiority complex kutokana na ile hali yake, which should be understandable. he's a nice fella otherwise.
ushauri kwa Simba....Manara mpeni jukumu lingine halafu wekeni mtu mwingine kwenye nafasi ya usemaji wa klabu ambayo ni nafasi nyeti kwa ajili ya ku-promote image ya klabu.
Adhabu mnayoijua ijua ni kufungia tu??
Huwezi kuwa shabiki wa simba wewe. Kuhusu refa unasema ni binadamu anaweza kukosea, je Manara ye ni Simba mnyama au ? Ukija hapa kutoa mawazo onyesha mawazo ya kujenga na acha uchonganishi wa hizo pande mbili. Haya aliyekupa usemaji wetu wana simba ni nani?? Eti sisi tumeridhika tunajipanga na mechi mbili .....! Labda wewe na familia yako
Ukae ukijua Manara haitishi press conference bila idhini ya uongozi wa klabu
Wapuuzi wote humu mna mshambulia Manara kama yeye binafsi, si sawa. Yupo kazini akiongea anawakilisha klabu na si mawazo yake binafsi.
Kama mna chuki binafsi naye mumtafute kwny pages zake za social media na si kwenye taarifa za klabu zenye idhini na baraka zote za klabu.
Jipange !!!
mkuu wewe unastahili kuwa katika uongozi wa simba sc angalau watajua kweli na haki ya soka
Mkuu uko sahihi kabisa. Kwa kapindi tulichonacho sasa ni muhimu kuendana na wakati na kuwa na Wasemaji wa Klabu wenye ubunifu na Weledi mkubwa. Maana wenzetu kwenye Dunia ya Kwanza na ya pili wanakimbia hivyo ili kuendana nao kiasi fulani yatupasa tujiongeze kwa kuwa wabunifu mara dufu.
Huyo maminara ana matatizo makubwa mawili ulemavu wake was ngozi umeharibu mpaka akili yake so ni wa kumpuuza tu
Binafsi ulichosema mm mwenye akili timamu nimekielewa,msemaji wa klabu asemi maneno yake kutoka mfukon bali maneno anayosema ni kwa ajili ya klabu so apa asisweme manara isemwe simba sport club kama kunaonekana kuna kosa.
We mwana mpiraaa???? Au mwana mtusi??Nimeifanyia makubwa kuliko ' takataka ' Wewe na ukitaka kujua nilivyohatarisha hadi maisha yangu nikiwa na Simba SC watafute Watu kama akina Mbunge Juma Nkamia, Kocha Seleman Matola, Makamu Rais wa muda wa Simba Idi Kajuna, Mafia Kassim Dewji, Maprofesa Sarungi na Kapuya na Mkuu wa Itifaki wa Simba SC Makoye watakupa ' habari ' kamili ya GENTAMYCINE. au mnadhani tu ' mafanikio ' mliyoyapata Simba SC huko nyuma Watu hatukujitoa ' mhanga ' kwa ajili ya Timu?
Tena uishie hapa hapa ' Pumbavu ' mkubwa Wewe sawa? Huyo Haji Manara wako kwa taarifa yako na kwakuwa huna ' akili ' hujui kwamba siku zote Kauli zake hizo zisizo za ' Kidiplomasia ' kwa TFF na Waamuzi ndizo huwa zinafanya Simba SC yetu ichukiwe kuanzia na TFF na Chama cha Waamuzi nchini.
Hivi huyo Manara wako ana uchungu na Simba SC au Yeye ndiyo mwana Simba SC pekee kuliko huyo Referee Heri Sasii ambaye Sisi Watu wa mpira wote tunamjua kama ni mwana Simba SC mwenzetu? Hivi una habari kwamba baada ya mechi Sisi wana Simba SC wenzako wenye akili na tunaojua ' ustaarabu ' wa mpira tulimfuata na kumpongeza kwa kuchezesha mechi ile vizuri?
Nakuibia sasa ' Siri ' ili ujue kwamba Wewe ni mwana Simba SC ' takataka ' tu na huna unachokijua ni kwamba hata Wachezaji wako ' waandamizi ' wa Simba SC na unaowategemea wamesikitishwa mno na kitendo cha Haji Manara kumshambulia Mwamuzi na kuilaumu TFF. Wengi wamesema yote yaliyotokea pale Uwanjani ni hali tu ya mchezo na inatokea kote duniani.
Huwa nawapendaga mno ' Wapumbavu ' wachache kama Wewe halafu na leo umenikuta ' Kichwa ' changu kipo vizuri ( nikimaanisha ) kimetakata hivyo nitatiriririka na kuserereka na Wewe hadi ujue ya kwamba Simba SC yako ina Watu wenye ' roho ' ngumu kama akina GENTAMYCINE ambao tupo tayari hata kutolewa ' Kafara ' ili Timu ifanikiwe kama ambavyo alifanya Marehemu Mzee Bamchawi tulipocheza na ile Timu ya Mbambane Swaziland miaka ile ya 90 au kama ambavyo alifanya Marehemu Mzee Privas Mtema wakati wa mechi ya Simba SC na Sports Club Villa ya Uganda.
Namalizia tena kwa jeuri zote huku nikijiamini na kusema kwamba Haji Manara hafai kuwa Msemaji wa Simba SC na kwamba kama akiendelea na aina hii ya ' Upuuzi / Upupu ' wake kuna siku ataigharimu Simba SC ' makubwa ' zaidi ya haya.
Nasubiri urudi.
Nimeifanyia makubwa kuliko ' takataka ' Wewe na ukitaka kujua nilivyohatarisha hadi maisha yangu nikiwa na Simba SC watafute Watu kama akina Mbunge Juma Nkamia, Kocha Seleman Matola, Makamu Rais wa muda wa Simba Idi Kajuna, Mafia Kassim Dewji, Maprofesa Sarungi na Kapuya na Mkuu wa Itifaki wa Simba SC Makoye watakupa ' habari ' kamili ya GENTAMYCINE. au mnadhani tu ' mafanikio ' mliyoyapata Simba SC huko nyuma Watu hatukujitoa ' mhanga ' kwa ajili ya Timu?
Tena uishie hapa hapa ' Pumbavu ' mkubwa Wewe sawa? Huyo Haji Manara wako kwa taarifa yako na kwakuwa huna ' akili ' hujui kwamba siku zote Kauli zake hizo zisizo za ' Kidiplomasia ' kwa TFF na Waamuzi ndizo huwa zinafanya Simba SC yetu ichukiwe kuanzia na TFF na Chama cha Waamuzi nchini.
Hivi huyo Manara wako ana uchungu na Simba SC au Yeye ndiyo mwana Simba SC pekee kuliko huyo Referee Heri Sasii ambaye Sisi Watu wa mpira wote tunamjua kama ni mwana Simba SC mwenzetu? Hivi una habari kwamba baada ya mechi Sisi wana Simba SC wenzako wenye akili na tunaojua ' ustaarabu ' wa mpira tulimfuata na kumpongeza kwa kuchezesha mechi ile vizuri?
Nakuibia sasa ' Siri ' ili ujue kwamba Wewe ni mwana Simba SC ' takataka ' tu na huna unachokijua ni kwamba hata Wachezaji wako ' waandamizi ' wa Simba SC na unaowategemea wamesikitishwa mno na kitendo cha Haji Manara kumshambulia Mwamuzi na kuilaumu TFF. Wengi wamesema yote yaliyotokea pale Uwanjani ni hali tu ya mchezo na inatokea kote duniani.
Huwa nawapendaga mno ' Wapumbavu ' wachache kama Wewe halafu na leo umenikuta ' Kichwa ' changu kipo vizuri ( nikimaanisha ) kimetakata hivyo nitatiriririka na kuserereka na Wewe hadi ujue ya kwamba Simba SC yako ina Watu wenye ' roho ' ngumu kama akina GENTAMYCINE ambao tupo tayari hata kutolewa ' Kafara ' ili Timu ifanikiwe kama ambavyo alifanya Marehemu Mzee Bamchawi tulipocheza na ile Timu ya Mbambane Swaziland miaka ile ya 90 au kama ambavyo alifanya Marehemu Mzee Privas Mtema wakati wa mechi ya Simba SC na Sports Club Villa ya Uganda.
Namalizia tena kwa jeuri zote huku nikijiamini na kusema kwamba Haji Manara hafai kuwa Msemaji wa Simba SC na kwamba kama akiendelea na aina hii ya ' Upuuzi / Upupu ' wake kuna siku ataigharimu Simba SC ' makubwa ' zaidi ya haya.
Nasubiri urudi.
We mwana mpiraaa???? Au mwana mtusi??
Hatuwezi kuwa klabu kubwa na midomo ya mashimo ya choo Kama wewe.
Mpira si maneno, mpira sayansi mpuuzi wewe !! Unatajataja watu unadhani ndiyo mpira ?
We nani bhana chukua time, unaandika pumba tu, nenda klabuni pale utoe hoja zako, japo hamna atakae kusikiliza.Simchukii Msemaji wangu Haji Manara ila Kitaaluma na Kiuweledi ' Utendaji ' wake kwa sasa kwa Simba SC hauna ' tija ' na akiachwa hivi na haya maneno yake anayoyatoa bila hata kuyapima kuna siku atakuja kuigharimu Simba SC na ' tutajuta ' na kuanza kuchapana ' bakora ' tena. Makosa aliyoyafanya Referee Heri Sasii hata Yeye Manara akiwa Referee anaweza akayafanya vile vile. Kikubwa hatujafungwa na bado tunaongoza Ligi hivyo sasa tujipange kwa mechi hizi mbili muhimu ambazo Kwangu Mimi kama ' Mdau ' wa mpira naziona ndizo mechi ngumu kwa Simba SC kuliko hata mechi ya Yanga SC.
Mbeya City na Prisons FC ' physically ' wapo vizuri sana tena kuliko Simba SC yetu ambayo ipo vyema tu ' tactically ' na hata ukiangalia miaka mingi mno Simba SC huwa tunapata sana taabu Mkoani Mbeya. Timu ambazo Simba SC inatakiwa iwe nazo macho mno katika kuelekea kuchukua ' Ubingwa ' ni Yanga SC, Azam FC, Mtibwa Sugar, Mbao FC na Prisons FC nimewaweka kando kidogo Mbeya City kwakuwa kwa sasa hawapo vizuri Kiuongozi. Singida United wamekuja vizuri ila watakuwa wazuri zaidi msimu ujao kwani nimewaangalia katika hizi mechi zao nane ( 8 ) na kugundua kwamba wanasumbuliwa na ' ushamba ' wa Kimpira na hawana uwezo wa kumzuia Simba SC kwani wana madhaifu makubwa sana katika Beki yao namba 4, namba 2 na namba 8 yao bado anacheza ' Kitoto ' sana.
Ha ha ha ha nacheka kwa dharau ! Punguza stress kwanza, weka sawa kwanza maisha yako.Fila De Puta Maloka Purkeria
Umeandika maelezo mapana sana ila point zako ni dhaifu mno,haujawai kuwaona mameneja wanawakosoa marefa?Tatizo ni kukariri tu unataka ata ktk upuuz pasifiwe tu ndo apo watakapojitokeza wapumbavu wengine waseme refa nae ni binadamu ana mapungufu,Izi ni dalili za kushindwa kufanya mambo kwa weledi.Don't be Stupid tafadhali. Kazi ya Uafisa Habari au Uafisa Mahusiano ' Kitaaluma ' haisemi kwamba eti Wewe Msemaji wa Taasisi au Timu fulani basi chochote kile kitakachoamuliwa na ' Management ' Wewe ukiseme hivyo hivyo.
Mkuu wa Mawasiliano popote pale ana wajibu pia wa kupima, kushauri na kuonyesha busara / uungwana juu ya jambo fulani lililopo na ambalo pia linahitaji kutolewa ufafanuzi pasipo kuathiri pande zote mbili. Haji Manara ambaye pia naamini yupo au ni sehemu pia ya Kamati ya Utendaji na Uongozi ya Simba SC hivyo basi wakati wa majadiliano kama Msemaji wa Klabu aliposhwa nae kushauri Uongozi hasa ni nini angatakiwa kuongea na nini asingekiongea ila tatizo kubwa Haji Manara siyo mwana Taaluma hasa wa Masuala ya Mawasiliano na ndiyo maana anapelekeshwa na Uongozi nae anakubali kisha anakuja kuharibu kama hivi.
Mwisho nikushauri tu kwamba siku zingine kama unajijua fika kuwa Wewe si ' Mwanataaluma ' wa Fani / Tasnia ' fulani basi usiwe unakurupuka kuisemea na badala yake waache ' waliotukuka ' nayo wakufundishe jinsi ilivyo na inavyokuwa. Kwahiyo unataka kusema kwamba Siku ikitikea Uongozi wa Simba SC umekasirika kabisa na ukamtuma Msemaji wetu Haji Manara aite Press na aseme Viongozi wote wa TFF wananuka ' mavi ' nayo itakuwa ni sawa / sahihi?
Nchi nyingi na zilizoendelea Maafisa Habari / Maafisa Uhusiano / Mameneja Uhusiano ni Watu ambao kwanza naturally tu wako ' Intelligent ' tofauti sana na wa hapa Kwetu Tanzania ambao 90% of them ni ' hopeless ' kabisa na wala hawajui hiyo ' Field ' inataka nini na ndiyo maana umeweza hata kuona hapo Haji Manara bila hata ya kupima kile alichoagizwa kukisema na kutoa ushauri kwa Uongozi Yeye ' kakurupuka ' nalo hivyo hivyo na sasa kuna kila dalili kwamba it will cost him.
We nani bhana chukua time, unaandika pumba tu, nenda klabuni pale utoe hoja zako, japo hamna atakae kusikiliza.
Ha ha ha ha nacheka kwa dharau ! Punguza stress kwanza, weka sawa kwanza maisha yako.
Huna point,Ila ' Mazeri ' wako kila nikitoa hizi ' Hoja ' zangu huwa anazisikiliza mpaka anajikuta anamtoroka ' Mshua ' wako na kuja Kwangu.