GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huna point,
Nakurudisha darasani jipange vizuri next time
Manara yupo kazini, anaongea kwa niaba ya klabu, na uongozi unafahamu na kubariki taarifa zake. Siyo kama kima wewe unabwabwaja tu humu.
# Elewa pia jitahidi Kutibu stress kwanza
Umeandika maelezo mapana sana ila point zako ni dhaifu mno,haujawai kuwaona mameneja wanawakosoa marefa?Tatizo ni kukariri tu unataka ata ktk upuuz pasifiwe tu ndo apo watakapojitokeza wapumbavu wengine waseme refa nae ni binadamu ana mapungufu,Izi ni dalili za kushindwa kufanya mambo kwa weledi.
Ha ha ha ha ha ha sasa wewe ndiyo wa kumpinga Manara huku povu linakutoka? Ha ha ha ha!! Pamoja sana mkuu' Mazeri ' wako ameshaondoka hapo Kwenu? Mwambie anapokuja Kwangu huku ' Maghetoni ' tafadhali asisahau kuleta na ile ' Wine ' yangu ambayo huwa naipenda mno ili niweze kupata ' Stimu ' zaidi ya Kibaiolojia.
Acha wafu wawazike wafu wenzao,naic na ww unajiita msom apo ulipo!..IQ yangu nikijibizana na Wewe nitakuwa naikosea sana / mno adabu.
Usitumie hivyo vyakula, si vizuri kwa afya ya Mwanaume rijali, kula Dona, maharage na dagaa, mboga za majani na matunda kwa wingi kama mimiMaisha yangu siku zote ' Mazeri ' wako anayaweka sawa na ndiyo maana ' Mshua ' wako akiacha Hela ya matumizi Wewe na Yeye mnalishwa ' Miharage ' na ' Midagaa ' huku Mimi anakuja na ' take away ' yangu ya Mikuku, Michips, Mayai na Soda juu.
Ha ha ha ha ha ha sasa wewe ndiyo wa kumpinga Manara huku povu linakutoka? Ha ha ha ha!! Pamoja sana mkuu
Acha wafu wawazike wafu wenzao,naic na ww unajiita msom apo ulipo!..
Usitumie hivyo vyakula, si vizuri kwa afya ya Mwanaume rijali, kula Dona kama mimi
Kila sehemu wewe mjuaji, si kweli haiwezekani !Na usemaji wa simba klabu wewe pia zaidi ya Manara, Narudia si kweli. Ukweli ni huu Wewe si mhuni , wala si msela, tibu tu kwanza STRESS za maisha yako, utapona !! Stress zinatibika brother !!Ukija Kwangu Kihuni basi na Mimi nakuonyesha jinsi nilivyo Muhuni, ukija Kwangu Kibusara na Kiungwana basi na Mimi nitakuonyesha jinsi nilivyo mwenye busara na muungwana kabisa ukija Kisela basi ndiyo nitakuonyesha kuwa Mimi ndiyo Msela wa Kutukuka na mwisho Principle yangu ni ile ile haijabadilika kwamba Wewe ukijamba tu Mimi naharisha kabisa.
IQ yako ilitakiwa ikusaidie ktk nyanja 4 za maisha ya binadam lakin nasikitika kuona IQ yako inakusaidia ktk nyanja 1 tu.Pole ndugu ¾ ya IQ yako ujui ilipo ao wanaokuita ww msom ni wafu acha wakuzike mfu mwenzao.Sijiiti ila najulikana hivyo. Narudia tena kusema kwa IQ yangu nikijibizana na Wewe nitakuwa naikosea na siitendei haki.
Katibu Mwenezi wetu.
Huyu jamaa alishafungiwa na TFF lakini TFF hiyo hiyo ikamrejesha kwenye nafasi yake, let them bear the consequences!Inawezekana Msemaji wa Simba, Haji Manara akaingia matatizoni na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambalo limetaka ufafanuzi kutokana na kauli zake dhidi ya waamuzi waliochezesha mechi ya Yanga dhidi ya Simba.
Taarifa zinaeleza, tayari TFF wamesukuma barua kwenda Simba wakitaka ufafanuzi.
“Kuna barua imepelekwa kutaka kupata ufafanuzi kwa kuwa zinaonekana ni kauli za kichochezi,” kililieza chanzo.
Lakini mmoja wa maofisa wa Simba ameiambia SALEHJEMBE: “Hatujapokea barua yoyote, acha tuendelee kusubiri tutaona itakavyokuwa.”
Manara anatuhumiwa kuwashambulia waamuzi waliochezesha mechi hiyo iliyoisha kwa sare ya bao 1-1 na Yanga kuonyesha soka safi zaidi ya Simba hasa katika ushambulizi.
Lakini Manara alilalamika Simba kunyimwa penalti likiwemo lile tukio la Kelvin Yondani kuunawa mpira wakati akijaribu kuondosha hatari langoni mwake.
Kila sehemu wewe mjuaji, si kweli haiwezekani !Na usemaji wa simba klabu wewe pia zaidi ya Manara, Narudia si kweli. Ukweli ni huu Wewe si mhuni , wala si msela, tibu tu kwanza STRESS za maisha yako, utapona !! Stress zinatibika brother !!
IQ yako ilitakiwa ikusaidie ktk nyanja 4 za maisha ya binadam lakin nasikitika kuona IQ yako inakusaidia ktk nyanja 1 tu.Pole ndugu ¾ ya IQ yako ujui ilipo ao wanaokuita ww msom ni wafu acha wakuzike mfu mwenzao.
Nazidi kuthibitisha kuwa bado ulichonacho kichwan hakikusaidiii.Mtu mmoja tu katika ' Ukoo ' wako angebahatika angalau tu kuwa na robo ya IQ ya GENTAMYCINE mngejivunia sana na mngepiga hatua ya Kimaendeleo.
Nazidi kuthibitisha kuwa bado ulichonacho kichwan hakikusaidiii.
Acha ubwege wewe tulia tukupe elimu ya mambo acha ujuaji Mbuzi jike wewe !!Tafuta wa ' Kukubutua ' huko ' Unyabeni ' Kwako tafadhali achana na Mimi kwani hutoniweza na utaishia tu kupoteza muda wako bure!