GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Acha ubwege wewe tulia tukupe elimu ya mambo acha ujuaji Mbuzi jike wewe !!
umevuka mipaka nduguHuyo maminara ana matatizo makubwa mawili ulemavu wake was ngozi umeharibu mpaka akili yake so ni wa kumpuuza tu
Ha ha ha Poa mkubwa kazi njemaNaona ' Nyabe ' linawasha Mkuu.
Tafuta elimu usitafute vyeti,tafuta maarifa usitafute kazi weee kikuna!!!sorry niko na wifi yako now Kama hauko bize njoo tu mkune Nazi pamoja.Nafurahi sana kuzidi ' Kujibizana ' na ' Popoma ' kama Wewe humu.
Siku zote wao wanaonewa tu. Hao ndiyo SimbaMbona. Manara hajaonyesha simba walipendelewa ina maana dk tisini hakuna faulo za simba na refa akapeta?
Taiga ndo wapiDuh kwahiyo manara anataka turud uwanja wa taiga wakapige penat
Hacha ubaguzi mjinga mmoja weweHuyo maminara ana matatizo makubwa mawili ulemavu wake was ngozi umeharibu mpaka akili yake so ni wa kumpuuza tu
Safari hii TFF wakimfungia Msemaji wa Simba SC Haji Manara nitawapongeza tena sana tu kwani japo Mimi ni mwana Simba SC tena ' Kindakindaki ' sijapendezwa na maneno yasiyo ya Kiuanamichezo ambayo Manara ameyaongea jana mbele ya Press pale Klabuni.
Madai yote aliyoyasema jana hayana nafasi wala tija hasa katika Soka la ' Ushindani ' kama la sasa. Labda Haji Manara amesahau kwamba hayo madai yake dhidi ya Mwamuzi kuna muda ndiyo yanafanya mchezo wa mpira uwe na raha kwani yanasaidia kuleta ' ubishani ' wa Kiuanamichezo kitu ambacho ni ' afya ' pia kwa mchezo wenyewe.
Nina mengi ya kusema na kumsema Msemaji wangu Haji Manara ila itoshe tu kusema kwamba kama ' Watani ' zetu Yanga SC waliona mbali na kumuondoa Msemaji wao ' Mswahili ' Jerry Muro na kumleta Msemaji mstaarabu, makini, mweledi na mtulivu Dismas Ten nadhani ni wakati sahihi pia kwa Klabu ya Simba upesi sana kuachana na Haji Manara kwani amezidisha sasa ' uhuni ' na ' uswahili ' wake.
Referee nae ni ' Binadamu ' hivyo kuna makosa ya ' Kibinadamu ' ambayo ukiwa tu muungwana na mwanamichezo wala hayakupi taabu / shida kuyajua na unayavumilia maisha yanaenda. Kama kuna ' Referee ' ambaye Tanzania kwa sasa tumepata na tunatakiwa kumtia moyo, kumuamini na kumpa uzoefu zaidi basi ni huyu Heri Sasii aliyechezesha huo ' mtanange ' wa Simba na Yanga.
Mwisho nimtake tu Haji Manara awe mstaarabu na makini kama hizo ' Suti ' ambazo huwa anazivaa siku hizi vinginevyo atakuwa anazilalilisha tu hizo ' Nguo ' ambazo kiukweli Mtu yoyote akiwa anazivaa iwe isiwe lazima tu ataonekana yupo vizuri Kichwani na hana ' Uhuni ' na ' Uswahili '.
TFF na Kamati ya Maadili yenu Mimi GENTAMYCINE nitawaunga mkono kwa 100% juu hatua zozote zile za Kinidhamu mtakazozichukua kwa Msemaji wangu wa Simba SC Haji Manara ili liwe fundisho kwa ' Wapuuzi ' wengine. Wewe ligi ndiyo Kwanza bado iko ' mbichi ' hivi unaanza ' kulialia ' hivi mzunguko wa pili si ndiyo unaweza kuitisha kabisa Press na ' ukawanyea ' Waandishi Mkutanoni kabisa kwa ' Kihoro ' chako?
Huwa najizuia sana kumsema / kumnanga / kumchamba Haji Manara Msemaji wangu wa Simba SC ila kwa hili wala simbakishi na simwonei haya / aibu na namwambia ' mubashara ' kabisa kwamba Wana Simba SC makini kama Sisi tumeridhika na mechi yetu na Yanga SC na sasa tunajipanga kwa mechi zetu mbili za Nyanda za Juu Kusini ya Mbeya City na Prisons hivyo atuondolee huo ' upuuzi ' wake.
Amenikera sana huyu Jamaa na nimemchoka mno.
Inawezekana Msemaji wa Simba, Haji Manara akaingia matatizoni na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambalo limetaka ufafanuzi kutokana na kauli zake dhidi ya waamuzi waliochezesha mechi ya Yanga dhidi ya Simba.
Taarifa zinaeleza, tayari TFF wamesukuma barua kwenda Simba wakitaka ufafanuzi.
“Kuna barua imepelekwa kutaka kupata ufafanuzi kwa kuwa zinaonekana ni kauli za kichochezi,” kililieza chanzo.
Lakini mmoja wa maofisa wa Simba ameiambia SALEHJEMBE: “Hatujapokea barua yoyote, acha tuendelee kusubiri tutaona itakavyokuwa.”
Manara anatuhumiwa kuwashambulia waamuzi waliochezesha mechi hiyo iliyoisha kwa sare ya bao 1-1 na Yanga kuonyesha soka safi zaidi ya Simba hasa katika ushambulizi.
Lakini Manara alilalamika Simba kunyimwa penalti likiwemo lile tukio la Kelvin Yondani kuunawa mpira wakati akijaribu kuondosha hatari langoni mwake.