TFF yakanusha uzushi unaoenea kuhusu kauli ya msitutishe!

Uraia ni issue ndogo? Jaribu leo hii uwe raia wa Kenya tu hapo tuende mbali sana
Wacha upuuzi wewe. Hawa wafuatao waliombwa/omba kubadilisha uraia kisa vipaji vyao vya football.
1. Jack Glealish: Ireland to England
2. Aubameyang Pierre: France to Gabon
3. Kalidou Koulibaly; France to Senegal
4. Ivan Rakitic: Switzland to Croatia
5. Diego Costa: Brazil to Spain
6. Zaha Wifred; England to Ivory cost

Ishu ya uraia ni ndogo sana serikali ikiamua sio kama unavyofikiria. So ishu ya Kibu sio ngeni Tanzania wala duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…