TFF yamfungulia mashitaka Kocha Azam FC kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Tanzania imemfunguli mashitaka Kocha wa Azam FC U-17, Mohamed Badru mbele ya Kamati ya Maadili kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi.

Tarehe ya kusikilizwa kwa shauri hilo itapangwa na Kamati ya Maadili ambayo tayari imeshapokea malalamiko hayo.

FYfehKCWQAATuEb.jpg
 
Acheni watu wafanye majukumu yao, wangemuachia bado ungelalamika.
Uyo kocha amesha fundisha baadhi ya timu kama Gwambina, Mtibwa n.k Tena Tff hiihii shida apo timu ya Azam Under 17 imeshinda ubingwa na takwimu zote zina wabeba Azam na Kocha wao alistahili kuchukua iyo tuzo ya Kocha Bora.
Fitina imekuja baada ya Badru kutakiwa kuzawadiwa iyo tuzo, ikabidi itafutwe Sababu ya ku mpora na kumpa kocha wa Simba Under 17.
Inamaana Azam wasingekua Mabingwa na takwimu kuwabeba Aya tunayo yaona yasingekuwepo.
Tunaposema Tff ni chupri, tuna maanisha.
 
Kuna watu walikuwa wachapakazi wazuri sana na walileta tija inayoonekana hata kwa macho katika maeneo waliyokuwa wakifanyia kazi. Lakini lilipofika suala la kukagua vyeti halisi na feki, waliondolewa kazini bila kujali kazi nzuri waliyofanya. Acha mamlaka zifanye kazi yake
 
Ndio tunasema takwimu nzuri zinazomfanya astahili kupewa Tuzo zimemponza. Isingekuwa iyo tuzo hakuna mtu ange hangaikanaye.
 
Naskia leo eti kajiandikisha kusoma leseni c ya caf [emoji16][emoji16][emoji16] huyo ni wa kutia bakora kabisa
Kwa hiyo leo ndio tff wanajua kuwa hana vyeti ila wakati anafundisha gwambina na mtibwa hawalikulijua hilo? Alafu wanasema kuwa wanataka makocha waende nje kufundisha🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo leo ndio tff wanajua kuwa hana vyeti ila wakati anafundisha gwambina na mtibwa hawalikulijua hilo? Alafu wanasema kuwa wanataka makocha waende nje kufundisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ana vyeti sahihi kwanini amejiandikisha leseni c ya caf tumia akili na wewe
 
Kwa hiyo leo ndio tff wanajua kuwa hana vyeti ila wakati anafundisha gwambina na mtibwa hawalikulijua hilo? Alafu wanasema kuwa wanataka makocha waende nje kufundisha🤣🤣🤣🤣🤣
Umaweza kuiba leo ukakamatwa mwakani
 
Back
Top Bottom